Wanajamvi napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wana JF kwani imeniwezesha kujua namna na kufanikiwa kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao,baada ya kujifunza kwa takribani siku kadhaa niliamua kufanya manunuzi kwa njia hii. Mnamo tar 4/12/2013 nilinunua mzigo na kufanya payment kwa njia ya paypal then after 1 day nikaambiwa mzigo umeshatumwa kwa kutumia Economic inter kutokea korea kuja bongo na nikaambiwa utachukua maximum of 30-40 days na gharama ya kusafirisha ilikuwa 2 dolla,nilikuwa na wasiwasi kutokana na kwamba wengi waliniambia hii njia sio salama lakini jana tar 07/01/2014 nimeenda posta na kukuta msigo mmefika nashukuru sana wanajamvi tuendelee na moyo wa kushare ideals

Mkuu hongera kwanza pili naomba kufahamu mzigo ulikua ni wa thamani gani kama hutojali je ulilipia ushuru? Maana kuna mzigo nataka kununua korea sema nashindwa kufahamu utafikaje
Inategemea na mzigo utakao nunua hivo usimuulize yeye wewe sema mm nataka kununua hiki na hiki je ntatozwa ushuru?
Precaution ninayokupa ni kwamba rarely mzigo ukatumwa kwa posta ukatozwa ushuru labda uwe mkubwa lkn viparcel vidogo hamna ushuru
lkn DHL wale nimeona juzi wanamtoza mama wa watu ushuru eti kisa katumiwa simu sony experia z1 from hongkong yaani DHL ma-officer wa ushuru ni Wezi sana tena wanachelewesha mzigo makusudi kama siku kadhaa iwapo wataona mzigo wako ni wa hela nyingi afu invoice inaonesha utalipa ushuru kidogo au hautolipa ushuru wanakupigia wanakwambia huu mzigo una KWERE hivo toa chochote tuuachie
Nakukumbusha TAX DEMINIMUS IN TANZANIA is 50$ kuwa makini usiibiwe
Ni laptop ambayo price yake ni kama 450,000 sema carriers wengi wanakwepa kusafirisha electornics stuffs
Laptop inatmia Lithium ion battery hap utazinguliwa kidogo iwapo battery itashipiwa kivyake maana couriers wengi wanaship Lithium ion kama kifaa inayojitegemea more so kama nchi iko strict
We mwambie anayekuuzia iwapo ataship battery kivyake aiwekee gift au aweke hela kidogo kama 10$ kwenye invoice
Laptop ni sttudying material haupaswi kulipia ushuru hata siku moja siku hiyo unaenda kupokea mzigo nenda website ya tra kabisa pint hiyo sehemu inayotaja kuwa studying equipment,health products hazilipiwi ushuru....Vinginevyo laptop ya 450,000/- utalipia ushuru kama 80,000-100,000/-