Thanks Paka Jimy

Huu ndo moyo wa WaTz wengi, kushirikiana na kusaidiana katika nyakati mbalimbali. Ashukuriwe sana!
 
Ndo za wasukuma hizo mkuu!...Si mwenyewe ulimwona FL1...utaoa mpya bila kutaliki wa zamani!
FL1 HESHIMA MKUU.............!
asingekuwa huyo ''mwekezaji'' aliyejiweka kwake jumla jumla........
halafu asingekuwa MSHIKIIIZ.............
hehehehe!leo hii mngekuwa siriaz kwenye vikao vya harusi yangu na fl1
 
hahahaha mzee hii j'mosi nitakuwa dom hapo inapatikana kwa wingi lazima nidumishe mila kama kawa.
sawa mkuu, leo tupo na unakaribishwa... Ukifika dodoma nenda veyula karibu na kanisani pale kuna wataalam wa choya, jamaa flani wa kondoa huwa wanakuzia hadi watoto
 
sawa mkuu, leo tupo na unakaribishwa... Ukifika dodoma nenda veyula karibu na kanisani pale kuna wataalam wa choya, jamaa flani wa kondoa huwa wanakuzia hadi watoto
mkuu nadhani muda umewadia sasa!ngoja niwahi daladala..........
 
FL1 HESHIMA MKUU.............!
asingekuwa huyo ''mwekezaji'' aliyejiweka kwake jumla jumla........
halafu asingekuwa MSHIKIIIZ.............
hehehehe!leo hii mngekuwa siriaz kwenye vikao vya harusi yangu na fl1

i salute G
 
Keep it up PJ. Huu ni mfano mzuri wa kuigwa.
Preta, usimfungulie kesi PJ, subiri akirudia utapata grounds za kufungua kesi. msamehe kwa sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom