Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.At least umeamua kuwa muwazi na kupeperusha bendera ya Membe mapema, it is vivid but my advice to ya all, it is too early kufanya hivyo. You are just showing too much kupita hata rais wako aliyekusaidia kusogea sogea hapo na uwzo wako tata
at at least mna common interest now na game theory....
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.
Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.
Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.
Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.
Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.
Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
.........wenye akili zetu tuliliona hili mapema; maana ngoma ya Lowassa ili achafuke zaidi ya wenzake imepigwa mno, anapunguziwa ushawishi ndani na nje ya chama, anatopeshwa kila aina ya uozo as if hawakumnyanyua mkono mwaka jana tu wakati wa kampeni, haya yote ili nyoka wa mdimu apete kiulaini,,,kumbe hata wewe Michuzi umenasa na wenye fikra finyu, ukanasika, kama Kubenea ametuhumiwa (na Samweli Sitta John -SSJ aka CCJ) kwamba anatumika na mafisadi, wewe unatumika na nani? (hao nyoka wa mdimu)?
shockingMkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.
Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.
Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.
Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.
Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.
Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
Pasco siamini kabisa kama ni post yako, yaani unamfagilia Membe awe rais wa nchi basi tena.Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.
Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.
Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.
Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.
Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.
Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
.........wenye akili zetu tuliliona hili mapema; maana ngoma ya Lowassa ili achafuke zaidi ya wenzake imepigwa mno, anapunguziwa ushawishi ndani na nje ya chama, anatopeshwa kila aina ya uozo as if hawakumnyanyua mkono mwaka jana tu wakati wa kampeni, haya yote ili nyoka wa mdimu apete kiulaini,,,kumbe hata wewe Michuzi umenasa na wenye fikra finyu, ukanasika, kama Kubenea ametuhumiwa (na Samweli Sitta John -SSJ aka CCJ) kwamba anatumika na mafisadi, wewe unatumika na nani? (hao nyoka wa mdimu)?
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.
Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.
If we allow ourselves to follow your reasoning then according to the so called trend the next in line should be Asha Rose who was the MFA before Membe!! Pasco unaonaje hiyo?
Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.
Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.
Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.
Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
Malizia tu yeyote anaepita hapo kwenye nyekundu ni mpika propaganda wa 'status quo' especially our intelligence na wengi ni ma-askari, that is a fact hilo gazeti pamoja na uhuru linajulikana wahariri wake ni watu gani maybe Membe is their next useful candidate kwa maoni ya intelligence by the way namkubali,mchuzi kahama dailynews na kwenda kuwa mwaandishi mwandamizi ikulu za jk