Thanks JF Members Arusha


pamoja sana mkuu.....tunakutegemea kwenye safari ya kwenda mbuga za wanyama
 

Kamanda mzima lakini?
Unajua tabia ya mtu ni hazina yake mwenyewe, hata wewe unakaribishwa a-town, utapata mapokezi na ukarimu wa kiwango kile kile tulichopata. Kawaida ukikutana na mtu jitahidi awe rafiki yako, ili kama kuna kitu cha ku-share basi inakuwa mwake mwake. Kama ungekuwa unajua kimolo ndipo ungejua kwa nini mimi na Preta dots zime click faster faster.
btw; Preta naomba umkumbuke nguli mgao wa kimolo!:teeth:
 
Kwani asili ina shida gani tena jamani? huu sio ubaguzi wa kimajimbo?:teeth:
Nitashukuru kama utaongea nao wakaelewa dhamira yangu safi. Unajua sisi na wamasai ndo huwa kidogo tunashindana lakini hao wairaq sidhani kama tutashindwana.

karibu sana ila kuhusu kabila la huku kwetu sisi tunaitwa wahadzabe....tunaongea kama wale bushmen wa kwenye 'Gods must be crazy'.....hao bila kuongea kinyumbani ndugu yangu mbona utajuta....huwa wanarusha mkuki hewani lakini utakapodondokea utajitafuta....sikutishi lakini...na mgeni huwa anakaribishwa bange.....najua watarime hilo haliwatii hofu
 

kimolo atapata.....ila mapishi yake ndio napata wasiwasi......sijui atayajua?....na atajua kinaliwa na nini?
 

Hivi mutu weye, ni kwamba umenisahau au umenifanyia makusudi baada ya kukuwekea uzibe kwa Preta? Ukija tena usinitafute.
 
Hivi mutu weye, ni kwamba umenisahau au umenifanyia makusudi baada ya kukuwekea uzibe kwa Preta? Ukija tena usinitafute.

Mkuu wewe tena? hapana bana siwezi kukusahau hata kidogo.
Kwa Preta hapo sasa unataka kuharibu kiongozi, mimi ndugu yako usinifitini.
Nisamehe bure kaka, nikirudi tutayamaliza usinifungie madirisha.
 

ok, kama huko iko hadzabe hakuna shida.
Kwa suala la bange usipate shida, tarime tuna mashamba ya kufa mtu na kitu yenyewe ni balaa, inachomeka kwenye kibuyu cha maji, ushawahi kuiona hiyo teknolojia?
btw, kwenye kurusha mikuki tuko pamoja, tutaelewana nao tu.
 
Mkuu wewe tena? hapana bana siwezi kukusahau hata kidogo.
Kwa Preta hapo sasa unataka kuharibu kiongozi, mimi ndugu yako usinifitini.
Nisamehe bure kaka, nikirudi tutayamaliza usinifungie madirisha.
Kwa mamlaka niliyopewa na wazee kule kijijini, nakukabidhi rasmi kwa dada angu Pretonila aka Preta. mahari tuamalizana pale zero pub.
 
Kwa mamlaka niliyopewa na wazee kule kijijini, nakukabidhi rasmi kwa dada angu Pretonila aka Preta. mahari tuamalizana pale zero pub.

Ahsante sana kiongozi kwa kunielewa.
Mahali inabidi nitoe ng'ombe, manake ndio utaratibu wetu, sasa tena zero pub watafikaje?
 
Ahsante sana kiongozi kwa kunielewa.
Mahali inabidi nitoe ng'ombe, manake ndio utaratibu wetu, sasa tena zero pub watafikaje?

he he....hapo kwenye ngombe itakugharimu....utajikuta unarudi na ng'ombe wako.....kukushauri tafuta tunyanyi tuwili tutatu hivi tulikonona (yaani tunene) hapo ndio utaeleweka.......
 
Nilikwenda umang'atini kuozeshwa na sasa nimerudi kwa nguvu mpya. Hata hivyo si unajua hizi kazi zetu na hawa wenzetu kiasia hata wakati mwingine taabu kuingia kwenye net. Lakini safari hii niaahidi uwepo wangu wa nguvu.
By the way, wana JF wa A-Town tunatakiwa to form a platform na kuhamasisha vijana mbalimbali kujiunga na hili jukwaa hasa wale ambao hawaifahamu kwaajili ya kuwa mtizamo chanya.
 
And if posible 27/12/2010 ikibidi singizia 'food poison' ili tuwe pamoja!
 
Mwita Maranya,hongera sana kwa kukutana na JF wa Arusha ila nasikitika kwamba sikupata Taarifa,au Ulitubagua member wengine wa Arusha,nimefurahi kwamba unatokea Mugumu ambapo ni nyumbani kwetu.naomba tufahamiane zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…