Thanks JF Members Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thanks JF Members Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwita Maranya, Dec 11, 2010.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa heshima na taadhima naomba kutumia nafasi hii kutoa shukrani zangu za pekee kwa JF members wa Arusha kwa ukarimu wao. Nimefarijika sana kukutana ana kwa ana na watu ambao pengine sikuwahi kufikiria kama ningekutana na kufahamiana nao kwa muktadha huu. Zaidi ya yote ni kwamba nimezidi kujiongezea marafiki, na naamini kwamba kila nitakapofika Arusha sitakuwa mgeni tena kwa kuwa nina wenyeji na marafiki wengi.

  Kwa namna ya pekee kabisa naomba niwashukuru kwa dhati kabisa wafuatao:

  Pakajimmy: Ahsante sana kiongozi kwa kuandaa unification ya kufa mtu.
  Preta: Ahsante sana bibie kwa ucheshi wako, nategemea tutakutana Mugumu.
  Wiselady: Ahsante sana bibie kwa mapokezi mazito, ama kweli wewe ni wiselady.
  Lilyflower: Ahsante sana bibie kwa busara zako, ama kweli wewe ni "flower" wa ukweli.

  Mwisho kabisa niwatakie maandalizi mema na kabambe ya get together party ya mwisho wa mwaka,

  Mbarikiwe sana wapendwa.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu, actually sisi tunakushukuru wewe kwa kututafuta pale ulipokuja A-town..

  Mbona otherwise ungeamua tu kukauka na kuendelea na ratiba yako, hasa ukizingatia kuwa ulikuja kikazi, na ulikuwa so tied na ratiba ya MKOLONI.
  kWETU sisi tulipata exposure na experience nyingi sana toka kwako, and in short you are such a gentleman, tofauti nilivyofikiria awali, hasa ukizingatia 'jina lenyewe'...ha, ha,a,hahaaaa!.

  Mkuu, tuko pamoja sana, Usisahau kututafuta next trip.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana kiongozi, nitajtahidi kuwatafuta wadau kila nitakapofika a-town.

  Mkuu hilo jina ndo lenyewe, ni katika kudumisha mila tu.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  karibu tena siku nyingine, nimefurahi pia kukutana nawe na kuongeza idadi ya marafiki.....Mugumu nitakuja na tafadhali uniwekee vimolo vya kutosha maana najua nyumbu wameshapita......mimi nitakuletea asali ....unajua tena Yaeda ndio kiwandani
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaaaa...., Preta bwana, bado unaikumbuka hiyo maneno kimolo?
  Usiwe na shaka na hilo, hata kama nyumbu wamepita huwa viakiba haviishi, kwahiyo andika umepata.
  Ila itabidi unikaribishe yaeda chini siku moja, nina mpango wa kutafuta kitalu huko, sijui kama mtanikubalia, manake mie si mwarabu!!
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani na mimi niko Arusha, tusitengane kihivyo.
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  haujatengwa jamaa yangu, jaribu kidogo tu kusema na PJ ili uweze kushirikishwa kwenye matukio yanayojiri arusha.
  Kwakuwa kuna shughuli ya funga mwaka, inaonekana hujaisoma, m-pm PJ sasahivi akupe ratiba kamili.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Dah umenikumbusha my Wiselady, Mods turudishieni chat room bwana!
   
 9. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Du naona huko Arusha mambo si haba, itabidi tuukimbie kidogo huu upupu unaomwagika huku tuje huko A-Town kumwona PJ & CO.:teeth:
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tell me you are not joking......aiseeee.....hebu na ukuje basi
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye asili ndio itakuletea shida......lakini usijali....nitaongea nao kinyumbani wataelewa.....kitalu utapata
   
 12. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Nipo serious aiseee, nikija nitawatafuteni members wote huko!.
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  karibu sana
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wow, Mwita safi sana...

  Mimi kama frequent guest wa Pakajimmy lazima niseme kwamba the guy is unique, najivunia kusema kwamba ameshakutana na zaidi na co-workers wangu kumi na amekua mstari wa mbele sana kutu-host hata pale ambapo wageni walizidi sitting room yake!!

  Nimebahatika kuongea kwa simu na Preta na Lily but their charm and friendship ni real....

  Hongera kwa kufaidi Arusha hospitality

  binafsi PJ ni kweli anastahili kuwa kaka wa pekee ndani ya JF
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwita hujui nilifurahi kiasi gani kukufahamu,pia kujiongezea rafiki mwema sana ambaye haendani na jina lake Mwita Maranya,,ha ha ha!
  Nafurahi pia kuwa umetambua kuwa Arusha umepata wenyeji,karibu tena na tena mpendwa
   
 16. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duh! Gen,me miss u big tym jamani!nasikitika kuwa ratiba ilibana sikukuona, lkn hope on ur way u can pop in.Karibu sana
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwani asili ina shida gani tena jamani? huu sio ubaguzi wa kimajimbo?:teeth:
  Nitashukuru kama utaongea nao wakaelewa dhamira yangu safi. Unajua sisi na wamasai ndo huwa kidogo tunashindana lakini hao wairaq sidhani kama tutashindwana.
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jamani kwani jina langu lina shida gani? mwenzenu nimeamua kudumisha mila. Lakini siumeona kwamba sisi tuko poa tofauti na mapokeo yaliyopo miongoni mwa watz wengi. Itabidi niandae trip ya mugumu kwa wale wote wenye mashaka na sisi. Preta atakuwa kiongozi wa msafara, atawatembeza kuanzia ikoma robanda hadi mugumu mjini halafu mimi nitamalizia tarime!
   
 19. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Preta na Mwita Maranya naona dots zina click ile mbaya mna ahidiana kupeana asali na kupelekana ayeda te! te ! te! Arusha people mko juu kila mtu anawasifia ukarimu wenu my bro PJ bg up sana bro wetu, Preta the JF funny queen tuko pamoja kwa sana, Wiselady not reachable ila hope to meet u soon, Lily maua amani kwako sisteri wetu.
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kiongozi unayosema ni kweli kabisa.
  Kwa heshima hiyo hiyo naunga mkono hoja na kumsimika rasmi PJ kuwa "Kaka Mkuu wa JF".
  Nadani panapo majaliwa mara nyingine tutakutana huko, manake nilipofika niliambiwa ulikuwa umepita muda si mrefu.
   
Loading...