Thanks JF Members Arusha

Preta na Mwita Maranya naona dots zina click ile mbaya mna ahidiana kupeana asali na kupelekana ayeda te! te ! te! Arusha people mko juu kila mtu anawasifia ukarimu wenu my bro PJ bg up sana bro wetu, Preta the JF funny queen tuko pamoja kwa sana, Wiselady not reachable ila hope to meet u soon, Lily maua amani kwako sisteri wetu.

pamoja sana mkuu.....tunakutegemea kwenye safari ya kwenda mbuga za wanyama
 
Preta na Mwita Maranya naona dots zina click ile mbaya mna ahidiana kupeana asali na kupelekana ayeda te! te ! te! Arusha people mko juu kila mtu anawasifia ukarimu wenu my bro PJ bg up sana bro wetu, Preta the JF funny queen tuko pamoja kwa sana, Wiselady not reachable ila hope to meet u soon, Lily maua amani kwako sisteri wetu.

Kamanda mzima lakini?
Unajua tabia ya mtu ni hazina yake mwenyewe, hata wewe unakaribishwa a-town, utapata mapokezi na ukarimu wa kiwango kile kile tulichopata. Kawaida ukikutana na mtu jitahidi awe rafiki yako, ili kama kuna kitu cha ku-share basi inakuwa mwake mwake. Kama ungekuwa unajua kimolo ndipo ungejua kwa nini mimi na Preta dots zime click faster faster.
btw; Preta naomba umkumbuke nguli mgao wa kimolo!:teeth:
 
Kwani asili ina shida gani tena jamani? huu sio ubaguzi wa kimajimbo?:teeth:
Nitashukuru kama utaongea nao wakaelewa dhamira yangu safi. Unajua sisi na wamasai ndo huwa kidogo tunashindana lakini hao wairaq sidhani kama tutashindwana.

karibu sana ila kuhusu kabila la huku kwetu sisi tunaitwa wahadzabe....tunaongea kama wale bushmen wa kwenye 'Gods must be crazy'.....hao bila kuongea kinyumbani ndugu yangu mbona utajuta....huwa wanarusha mkuki hewani lakini utakapodondokea utajitafuta....sikutishi lakini...na mgeni huwa anakaribishwa bange.....najua watarime hilo haliwatii hofu
 
Kamanda mzima lakini?
Unajua tabia ya mtu ni hazina yake mwenyewe, hata wewe unakaribishwa a-town, utapata mapokezi na ukarimu wa kiwango kile kile tulichopata. Kawaida ukikutana na mtu jitahidi awe rafiki yako, ili kama kuna kitu cha ku-share basi inakuwa mwake mwake. Kama ungekuwa unajua kimolo ndipo ungejua kwa nini mimi na Preta dots zime click faster faster.
btw; Preta naomba umkumbuke nguli mgao wa kimolo!:teeth:

kimolo atapata.....ila mapishi yake ndio napata wasiwasi......sijui atayajua?....na atajua kinaliwa na nini?
 
Kwa heshima na taadhima naomba kutumia nafasi hii kutoa shukrani zangu za pekee kwa JF members wa Arusha kwa ukarimu wao. Nimefarijika sana kukutana ana kwa ana na watu ambao pengine sikuwahi kufikiria kama ningekutana na kufahamiana nao kwa muktadha huu. Zaidi ya yote ni kwamba nimezidi kujiongezea marafiki, na naamini kwamba kila nitakapofika Arusha sitakuwa mgeni tena kwa kuwa nina wenyeji na marafiki wengi.

Kwa namna ya pekee kabisa naomba niwashukuru kwa dhati kabisa wafuatao:

Pakajimmy: Ahsante sana kiongozi kwa kuandaa unification ya kufa mtu.
Preta: Ahsante sana bibie kwa ucheshi wako, nategemea tutakutana Mugumu.
Wiselady: Ahsante sana bibie kwa mapokezi mazito, ama kweli wewe ni wiselady.
Lilyflower: Ahsante sana bibie kwa busara zako, ama kweli wewe ni "flower" wa ukweli.

Mwisho kabisa niwatakie maandalizi mema na kabambe ya get together party ya mwisho wa mwaka,

Mbarikiwe sana wapendwa.

Hivi mutu weye, ni kwamba umenisahau au umenifanyia makusudi baada ya kukuwekea uzibe kwa Preta? Ukija tena usinitafute.
 
Hivi mutu weye, ni kwamba umenisahau au umenifanyia makusudi baada ya kukuwekea uzibe kwa Preta? Ukija tena usinitafute.

Mkuu wewe tena? hapana bana siwezi kukusahau hata kidogo.
Kwa Preta hapo sasa unataka kuharibu kiongozi, mimi ndugu yako usinifitini.
Nisamehe bure kaka, nikirudi tutayamaliza usinifungie madirisha.
 
karibu sana ila kuhusu kabila la huku kwetu sisi tunaitwa wahadzabe....tunaongea kama wale bushmen wa kwenye 'Gods must be crazy'.....hao bila kuongea kinyumbani ndugu yangu mbona utajuta....huwa wanarusha mkuki hewani lakini utakapodondokea utajitafuta....sikutishi lakini...na mgeni huwa anakaribishwa bange.....najua watarime hilo haliwatii hofu

ok, kama huko iko hadzabe hakuna shida.
Kwa suala la bange usipate shida, tarime tuna mashamba ya kufa mtu na kitu yenyewe ni balaa, inachomeka kwenye kibuyu cha maji, ushawahi kuiona hiyo teknolojia?
btw, kwenye kurusha mikuki tuko pamoja, tutaelewana nao tu.
 
Mkuu wewe tena? hapana bana siwezi kukusahau hata kidogo.
Kwa Preta hapo sasa unataka kuharibu kiongozi, mimi ndugu yako usinifitini.
Nisamehe bure kaka, nikirudi tutayamaliza usinifungie madirisha.
Kwa mamlaka niliyopewa na wazee kule kijijini, nakukabidhi rasmi kwa dada angu Pretonila aka Preta. mahari tuamalizana pale zero pub.
 
Kwa mamlaka niliyopewa na wazee kule kijijini, nakukabidhi rasmi kwa dada angu Pretonila aka Preta. mahari tuamalizana pale zero pub.

Ahsante sana kiongozi kwa kunielewa.
Mahali inabidi nitoe ng'ombe, manake ndio utaratibu wetu, sasa tena zero pub watafikaje?
 
Ahsante sana kiongozi kwa kunielewa.
Mahali inabidi nitoe ng'ombe, manake ndio utaratibu wetu, sasa tena zero pub watafikaje?

he he....hapo kwenye ngombe itakugharimu....utajikuta unarudi na ng'ombe wako.....kukushauri tafuta tunyanyi tuwili tutatu hivi tulikonona (yaani tunene) hapo ndio utaeleweka.......
 
Nilikwenda umang'atini kuozeshwa na sasa nimerudi kwa nguvu mpya. Hata hivyo si unajua hizi kazi zetu na hawa wenzetu kiasia hata wakati mwingine taabu kuingia kwenye net. Lakini safari hii niaahidi uwepo wangu wa nguvu.
By the way, wana JF wa A-Town tunatakiwa to form a platform na kuhamasisha vijana mbalimbali kujiunga na hili jukwaa hasa wale ambao hawaifahamu kwaajili ya kuwa mtizamo chanya.
 
Mkuu, actually sisi tunakushukuru wewe kwa kututafuta pale ulipokuja A-town..

Mbona otherwise ungeamua tu kukauka na kuendelea na ratiba yako, hasa ukizingatia kuwa ulikuja kikazi, na ulikuwa so tied na ratiba ya MKOLONI.
kWETU sisi tulipata exposure na experience nyingi sana toka kwako, and in short you are such a gentleman, tofauti nilivyofikiria awali, hasa ukizingatia 'jina lenyewe'...ha, ha,a,hahaaaa!.

Mkuu, tuko pamoja sana, Usisahau kututafuta next trip.
And if posible 27/12/2010 ikibidi singizia 'food poison' ili tuwe pamoja!
 
Mwita Maranya,hongera sana kwa kukutana na JF wa Arusha ila nasikitika kwamba sikupata Taarifa,au Ulitubagua member wengine wa Arusha,nimefurahi kwamba unatokea Mugumu ambapo ni nyumbani kwetu.naomba tufahamiane zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom