Lakini Filipo umeshamuona nitonye au marejesho kwenye uzi huu? Mimi kama broda wako wa ukweli nakuomba ungurumisha ubongo wako then pigia mstari jibu hilo
Hujiulizi mbona nitonye na marejesho hawajitokezi kwenye huu uzi? Hehehehe! Wapo wanajinafasi mahali lol. Utajibeba mwaka huu Filipo, we nikubali yaishe! Ukiacha nikaanza kumwogesha Mungi ujue imekula kwako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.