Thanks GOD, it is the Lady

Aaah, mie mwenyewe nimekuja mbio kidogo nitengue nyonga. Afu nna mood ya umbeaaa, ngoja nimtafute sweetlady anipe umbea wa jijini.
Hehehe! Mke mwenza umbea upo mwingi bado kidogo utanipalia mie, fanya tukutane kwa Mungi baadae uuchukue wote! Afu wifi kapotelea wapi jamani?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! Mwambie kabisa manake ushazoea kuogeshwa weye! Sabuni ipo ya kutosha au nije nayo jioni? Filipo ashakubali kunileta usijali Mungi

sweetlady sabuni zipo za kutosha, ila kuna mmoja inaitwa rexona Arushaone amenitonya kuwa badala ya kuitumia kuniogesha, we unaweza kuitumia kumfanyia mzee mzima masaji. So nimei ommit kwenye hesabu.
 
Last edited by a moderator:
Mungi mtoto si keshakua? Watoto wa dot com hawacheleweshwi bhana. Hutaki uwe ba'mkwe? Tupishe basi tuna mazungumzo naye. Erickb52 twen'zetu tuangalie nani atachaguliwa. Ha! Hivi kuna Germany Sherphard? Wewe utagonga mlango, mimi nitampa mtego. Let's go man....
 
Sasa we Arushaone na Erickb52 mnataka tukawaundie tume hahaaaaaaa.............
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom