Thanks GOD, it is the Lady

Mungi mi sidhibitiki meeen labda Arushaone

Hahaa Mkuu nakuambia ogopa hii silaha!
attachment.php
 
Picha! weka pichaaa! hapa namnukulu mtani wangu zomba huwa ananifurahisha sana. Kamanda Mungi hongera sana na kwa mtoto namwambia WELCOME TO THE WORLD BABY GIRL, kwa mama nampa hongera kuzaa chema! Halafu usitutishe na GERMANY SHERPHERD. TWAJA!!
 
Last edited by a moderator:

Arushaone umewahi kuona kazi ya huyu kamanda? Jaribu uone hahaaaaa!
attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom