CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kuna watu umewashtua humu na utawaona wakija! WiseLady, sweetlady, FirstLady1 na wanaofanana na hao! Hah hah hah hah hah
Hahaaaa @weetlady unataka kuleta kesi wewe! anyway, karibu kwa mtori
Hahaaaa Mkuu Ayumi wangu bado sijampata, kwa atakayefanikisha dau liko pale pale. Hii ni furaha nyingine mkuu, mungu amesikia maombi yangu.
Thanks Jesus Thanks God
Mambo mdada! Tunashukuru kwa kujitolea kesho kuja kumwogesha mtoto ila kwasasa hapana, we endelea tu kumwogesha yule mwanao mkubwa lol!... Labda uje kumenya ndizi tu mpendwa!Hongera Mkuu.
Usijali zoezi lako nitalifanya kwa nguvu zangu zote,akili yangu yote na Moyo wangu wote.
Mpe mama hongera kwa:baby:
kesho nitakuja:bathbaby: mtoto.
Hahaha! Ni kweli ila mzazi uliyekomaa lol, una nguvu za kwenda kwa mromboo kupata kitu cha mbuzi! Uwe unakunywa bakuli moja kwa siku.
Mambo mdada! Tunashukuru kwa kujitolea kesho kuja kumwogesha mtoto ila kwasasa hapana, we endelea tu kumwogesha yule mwanao mkubwa lol!... Labda uje kumenya ndizi tu mpendwa!
Hatukubanii dia ila kabla kababy hakajafika kwenye huu ulimwengu Mungi alishajipanga kabisa, kwasasa wa kumwogesha mtoto yupo! Utomvu usijali tutakupa unga unawie lol. Afu uwe unamwogesha mtoto mkubwa mara moja moja tehe tehe!Mambo Poa Sweetie.
Loh!! Mbona mnanibania kumwogesha mtoto jamani?
Nimeshaandaa Vifaa vyote vya kazi mamito.
Ndizi naogopa Utomvu.
Mtoto mkubwa anajiogesha mwenyewe.