Thank you Zitto, thank you CHADEMA and please keep up the pressure

Huo mshahara aliupeleka Zitto? wewe umelipwa na serikali, si huyo zitto ndio alisema serikali haina hela ya kuwalipa sasa imekuwaje? Wewe unatakiwa kumshukuru KIKWETE bila yeye huendi choo, sio Zitto.
 
Wewe umeganda kuwa mshahara ni mpaka tarehe 28 mpk 31.Hii ni kwako,ila kuna pia prepaid salaries,hapo ni kuwa mwajiri amekuamini kiasi kwamba anajua hata akikupa mshahara tar.1 huwezi kukimbia kazi.issue ni kwako usiyeaminika ni mpaka upige mzigo mpaka tarehe 30.ndio upewe mshahara.
 
Huo mshahara aliupeleka Zitto? wewe umelipwa na serikali, si huyo zitto ndio alisema serikali haina hela ya kuwalipa sasa imekuwaje? Wewe unatakiwa kumshukuru KIKWETE bila yeye huendi choo, sio Zitto.

Tumaini lililolejea sio?stupid dog!
 
Back
Top Bottom