Kopi: Vin Diesel .........na wewe yamekukuta!
Mpelekee copy 3....... Mbili ahifadhi kwenye file kwa matumizi ya baadae
Unanikera mpaka basi ujue.
Bishanga vipi tena aise mbona unakereka tenaUnanikera mpaka basi ujue.
Vin Diesel kanambia vitz na chain alizokununulia umrudishie!
Thubutu yake....... Ana jeuri ya kununua vitz????