Thank you Mr Rocky

Sijui nisemeje!
Si ni wewe Mamndenyi juzi mbichi unarap tena kwa povu hutaki wanamme wa jamvini/mtandaoni !
Limkono la tembo limekukolea kama si kukunogea umebadili kauli!
Sikusuti ila usiwe watoa kauli hasi ! Usicheze na mkuno! Unabadilishaga hata uraia/dini
Welldone mtu wangu Mr Rocky, kandamizia hapohapo kazi nzuri , hadi katepeta kihivi !
 
Last edited by a moderator:
Judgement nakubali nilisema dah lakini Mr Rocky ni zaidi ya
nilivyowaza.

 
Last edited by a moderator:
sweetlady pengine mliimba sauti moja tu
haukujua kuwa ana uwezo wa kuimba sauti ngapi
hilo ndo tatizo lako, pole by the way.

Mh............. Mbona wa kawaida sana kipindi tunaimba kwaya pamoja?........ Au alienda India kuongeza ujuzi eeh?....... Haya mamaaa Mamndenyi jinafasi kwa raha zako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…