Thank You GOD...........Today Is My Day.

Thank You GOD...........Today Is My Day.

Mungu Akubariki ndugu na Akupe maisha marefu mema na yenye mafanikio.Amen.

Nashkuru sana ELY na pia MUNGU atubariki sote mkuu. Atupe mafanikio na maisha yenye furaha, amani na upendo ndani yake kiongozi.
 
Hap BD nduki.
Karibu uzeeni maana umri unasonga
 
Last edited by a moderator:
Hap BD nduki.
Karibu uzeeni maana umri unasonga


Wow. Thanks binam wa mie.

Nakaribia mamitto ; age ain't nathing but a number mwaya.

Thanks B~nam.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Buddy....!


Thanks blood. But u know wat ; i've misd u so much sio.
Hope will see u one day. Holla at every1 downthere.

I Miss you.
 
Happy Birthday Buddy....!


Thanks blood. But u know wat ; i've misd u so much sio.
Hope will see u one day. Holla at every1 downthere.

I Miss you.
 
Namba hazidanganyi bhanaaa hahahaaaa nakuletea pampas eeh

Hahahaa na madhiwa jamani ninyonye mwaya.

Unataka katoto kang'aa kafe njaa jmn...?.

Aumpe adhiwa anooneee...!.
 
Back
Top Bottom