Thank you baba... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thank you baba...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mja, May 24, 2011.

 1. m

  mja JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wan JF,

  naomba nianze kwa kusema nampenda sana mama .. yangu na mama wote, na hata akina mama wa JF, i love u mama....
  tatizo langu ni kwanini hatuwapi credit akina baba mara kwa mara.. naomba nieleweke sipingi kuwa mama ana mzigo mkuuubwa sana, lakini hata baba yupo na mama siku zote.. tangu siku ile.. ashakhum si matusi.. wakati wa kuuubwa mpaka mtoto anazalia ..lakini kwa nini tumpa sifa nyiiingi mama na kumsahau baba hata kidogo.. mfano ni wanamuziki wangapi waneimba nyimbo kumpongeza baba... mimi sina kumbukumbu sana labda nyimbo za baba huwa hazi-hit ...may be.. mnaweza knisaidia hapa; lakini muziki wakumsifia mama...du baba yangu weeeee.. ni endless list... Boyz 2 men, spice girls, 2pac, banana zoro, qchila, mwaitenge... just to mention few,
  baba works hard to make mama kuyatekeleza yake majukumu mengi.. therefre tuwakumbuke na kuwashukuru akina baba..

  Baba Thank you and i love you....
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unaweza kumwimbia na kumsifia baba asiye wako ( huna unakika) ila mama unauhakika 100% ni mama yako. Ila wanaume hawaitaji kusifiwa kwa maneno, they dont care mere words! ndiyo mana hawalalamiki
   
Loading...