Thank you AC MILAN....gud work!!!

Thank you AC MILAN....gud work!!!

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
208
Reaction score
82
Safi sana Ac milan kwa kuninyongea hao wanaojisikia sana,wao wanashangilia pasi 600 sie magoli.all z best watoke mapemaaa...
 
mkuu umefurahi sana lakini usije kulia tarehe 12/03/2013 on camp nou kinaweza kutokea chochote kile
 
Matokeo yalibadilika au ni goli 1 lile lile? Umeme umekatika huku!
 
camp nou barca watashinda beki wa ac milan apigwe red na falao aumizwe na kina niang na traore wavunjwe ndio atapita hiyo sio timu za spain naona safari hii wamejifunza jinsi ya kuuwa pasi za misho za barca kiasi cha mesi kuachwa na kupotea kama dogo cesc
 
Baca hawana lolote sana ni pass 1000 uzuri Milani waliona mapema kuwa 40 za Mwizi zimewadia .

Hongera kwa kandanda safi na ushindi mnono wa 2 ni wazi Baca imeshikwa pabaya.

Mechi ya marudiano wakijichanganya Baca safari ya aibu itawakuta,walilowa sana Baca sikumuona Messi wala Nessi nadhani Gudiola alijua chama limechoka akakimbia.

Kocha Mkuu mara upasuaji wa moyo sasa huyu Msaidizi yanamkuta makubwa.
Hongera Ac Milan!
 
Barca hawana chao kwani huko kwao Camp Nou mbona wametolewa mara nyingi tu!!
Barca mguu mmoja nje ya mashindano!

"Victory is won not in miles but in inches. Win alittle now, hold your ground, and later, win a little more"
 
si ndio hapo kila mtu kafurahia barca kupigwa bao..bora watoke mapema maana ile mijamaa ina sifa...kanjia ka kwenda fainali na hatimae kushinda kameshaanza kujionyesha kwa mbali
 
Tuweke Dau...
Wewe Penga kamasi mimi naweka US$ 100

We jamaa maneno yako sijui uwa unayatoa wapi, hii inanikumbusha jamaa (jina kapuni) aliyefungua kesi na kuweka mawakili kwa kudai fidia ya shilingi moja tu.
 
Back
Top Bottom