Thank god!!

Mhh Yaani umeona hiyo ni issue hasa ya kupost jamvini? Nina mashaka sana
na uwezo wako wa kufikiri. Kwa style hiyo hata library hujafikiria kwenda, na wewe

unajiita msomi uko Chuo. Usituharibie jukwaa- Rubbish!!!!!!
 
Hv huyu hajui hii amri "USITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO" Ebwana inakubid uende ukatubu kanisan
 
Hajakosea kuandika god,ni sawa kwake,labda mngemuuliza mungu yupi?lakini kwetu ni GOD,na hata huyu GOD haruhusu mademu,but huyo god yeye huruhusu kila anasa,
 
Hapa ndipo idea ya Kaunga ya kuwa na sub-forum kwa ajili ya ushuzi kama huu inapopata mashiko..
 
Last edited by a moderator:
Yani sina hata wiki mbili chuo lakina nshapata demu duh thank god!

Bila shaka ni product ya JANJA JANJA SCHOOLS, timamu hawezi kufikiri hivi! Uhuru wa mawazo labda.

Jf inachafuliwa na hawa Janja janja hawa, mods hawajamaa wasitumie jukwaa vibaya!!
 
Nadhani sio vizuri kumshambulia huyu jamaa.
Mi namshauri ampende kwa nguvu zake zote, kwani anaweza kuja kuwa mama watoto wake
 
Bila shaka ni product ya JANJA JANJA SCHOOLS, timamu hawezi kufikiri hivi! Uhuru wa mawazo labda.

Jf inachafuliwa na hawa Janja janja hawa, mods hawajamaa wasitumie jukwaa vibaya!!

Naomba unafafanulie, ni kwa namna gani huyu mtu kakosea...
 
Naomba unafafanulie, ni kwa namna gani huyu mtu kakosea...

kwa level ya mtu wa university hafanani kuleta uzi kama huu! Halafu hii ni sawa na mtu kujamba unakuja kujisifu hapa Jf. Yeye anamshukuru mungu, wala haombi ushauri kwetu!!
soma hako ka thread kenyewe kalivyo, hata tuna comment bure tu!!
 
Labda hakujua anaandika nini. Inawezekana anabuya unga huyu ndiyo maana maneno haya yalimtoka akifikiri yuko kwenye kijiwe cha wabuya unga wenzake. Mungu si wa kudhihakiwa namna hii. Hata kama amezoea kutania lakini sio kumchanganya Mungu kwani majibu yake atayapata muda si mrefu. He needs deliverance. Mungu amsamehe hajui alilolisema.
 
Back
Top Bottom