Thank god!!

Thank god!!

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
186
Yani sina hata wiki mbili chuo lakina nshapata demu duh thank god!
 
U dont even have a crew on what ur saying! U o just cant mention the world of the Mighty God to such trivial thing! It is absolutely rubbish!
oooh guy ur very wrong even god praise love is it a sin for me to love somebody my friend? i guess not so let me thank ma god!
 
Sasa umekuja JF kureport? Kwan nan kakuuliza? Hizo ni tabia za kitoto,haya ungepeleka kule jukwaa la mahusiano na mapenzi huko,hili sio jukwaa la udaku.
 
Graduate with 'A' not with AIDS..
Ni hayo tuu..

aende pale ifm na ustawi ndio wameyaweka vizuri kabisaa halafu utasikia anakuja na uzi hela za bodi hazitoshi...
 
Sasa umekuja JF kureport? Kwan nan kakuuliza? Hizo ni tabia za kitoto,haya ungepeleka kule jukwaa la mahusiano na mapenzi huko,hili sio jukwaa la udaku.

kweli kabisa inawezekana hajui how to use JamiiForums Effectively..
 
oooh guy ur very wrong even god praise love is it a sin for me to love somebody my friend? i guess not so let me thank ma god!

Mungu huandikwa kwa herufi kubwa kuonesha heshima, 'God, GOD! not as simple god kama unaandika neno demu. Think!
Kuhusu we kupata demu, kama ni mkristu pls pls kashuhudie kanisani,usisahau sadaka. MASOMO MEMA DOGO
 
Hivi Mods wako wapi? Huu utumbo unatafuta nini jukwaa hili, hata kufikiri kumemshinda, kijana kuwa makini Nchi hii ukitaka sifa utakwenda na maji na ARV'S fake zilishaingia mjini.
 
Yani sina hata wiki mbili chuo lakina nshapata demu duh thank god!
kijana ni mda sana umekua na mawazo hafifu mno humu jf....na sijui unafikiri nini kuandika ujinga na upuuzi kama huu!!!! hivi kweli unaweza mdhihaki mungu kiasi hiki???? yani unapata mal****a una mshukuru mungu??? JITAHIDI SANA KUWA NA USHIRIKIANO MZURI NA AKILI YAKO NA KABLA HUJAANDIKA CHOCHOTE HAKIKISHA UNA AKILI TIMAMU..... K*** sana wewe!!!!
 
Hahahaha nimebaki kucheka nimeshindwa hata kukutukana
 
Mungu huandikwa kwa herufi kubwa kuonesha heshima, 'God, GOD! not as simple god kama unaandika neno demu. Think!
Kuhusu we kupata demu, kama ni mkristu pls pls kashuhudie kanisani,usisahau sadaka. MASOMO MEMA DOGO

hajakosea kuandika huyo ndo mungu anayemwamin yeye .god!!hii kal
 
Back
Top Bottom