issakwisa6810
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 309
- 84
Kama anampango mzuri na hao watoto awape chao wapange na familia zao
Nakuuliza tena unafikiri thamani ya Yamoto band ni nini? Na wanatakiwa wafanyiwe nini ili kuendana na thamani utakayo xfactor? Nisome hapa tenaNina wasiwasi kama umesoma uzi wangu mpaka mwisho
Najua Fella na Tale si parfect managers kabisa lakini kwenye hoja yako sioni kilicho sahihi kabisa labda kama unaweza kuniambia thamani ya msanii au kundi tunaweza kuipima vipi?
Hivi kama watu wana jengewa nyumba wanapewa usafiri na bado wanalipwa wanapo piga show hivi unataka wafanyiwe nini zaidi?
Kwangu mimi huku tunako enda ni kuwa wachonganishi!
Kama wewe ungekuwa ni mfatiliaji wa muziki wala usinge uliza kuhusu thamani ya Yamoto band kila mtu anajua Yamoto band ilipo na ilipo toka thamani yake ni kubwa sana! Sasa Yamoto band ni moja ya band tano kama sio tatu bora hapa nchini!
Kitendo cha hii band iliyo anza kimzaa kukubalika na kila mtanzania ni thamani tosha..pia kitendo cha wao kupata show nje na ndani ya nchi ni thamani nyingine...!
Mimi nafikiri tumpongeze sana Fella kwa hili maana amefanya mengi na hili la Yamoto band limeonekana wazi!
Kama swala la pesa lazima tukubaliane ni lazima Fella apate zaidi maana yeye ndio mwekezaji na mwenye kiwanda na haitoshi amekuwa hadi akitunga nyimbo ambazo mnazipenda kutoka kwa hawa vijana!
Mimi swala la kuwajengea nyumba limenifurahisha sana na ametumia busara ya hali ya juu maana wasanii wetu wakipata hela hujisau sana!
Nakuuliza tena unafikiri thamani ya Yamoto band ni nini? Na wanatakiwa wafanyiwe nini ili kuendana na thamani utakayo xfactor? Nisome hapa tena
🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑
Malizia kusoma thread yangu mpaka Mwisho mkuu
Usipopata Jibu basi nitakuwa sina cha kukujibu maana nitakesha kukuelewesha
Kama anampango mzuri na hao watoto awape chao wapange na familia zao
Naomba uniambie kibaya alicho fanya Fella kwa hawa watoto hadi useme hivi! Unafikiri hawalipwi?
Hivi ni kweli unajua makubaliano ya hawa vijana na Said Fella? Unafikiri hawalipi? Kwanini usifikiri hata swala la kujenga nyumba nalo lilikuwa wazo lao pia?Hakuna kibaya alichofanya na Ndio maana nasema kama umesoma between lines thread Yangu ungeelewa sababu nimempa credit Kwa anayofanya. Lakini hilo halitoshi sababu vijana wana stahili Zaidi ya anachowapa
Kwanini awajengee nyumba? Kwanini asiwape chao wakajenga wenyewe? Na kama anawapa mgao stahiki iweje vijana wakose Gari Mpaka wasubiri Fela ampe Zawadi tena Kwa mbwembwe kwenye media?
Hawako huru vijana mpaka fella afurahi ndio wapewe jasho lao .sikatai yeye ndio kawatengeneza ila hawako huru anatumia vibaya unyonge wao na unaskini wao .mimi naona angekuwa anaweka kati kila wanapo tengeneza hela wanagawana pamoja Nate akiwemo sio kuwapa vitu wasivyo hitaji maana anawalazimisha tu huh no unyonyaji
Kweli nimeani Kinyozi hajinyoi! Fella si alishawahi kutoa Single yake lakini haikuambulia hata kupigwa kwenye TV wala Redio yeyote hapa duniani?
Uzi wako umesomwa acha wasiwasi ila ulicho andika ni uchonganishi mtupu. Ana mpa gari kama zawadi siyo malipo. So huwezi kusema gari haina hadhi yake kwa sababu ni zawasi. Zawadi waweza mpa mtu kitu chochote kwa sababu siyo lazima. You get my point.Nina wasiwasi kama umesoma uzi wangu mpaka mwisho
Nakuuliza tena unafikiri thamani ya Yamoto band ni nini? Na wanatakiwa wafanyiwe nini ili kuendana na thamani utakayo tena
Unavyoongea kwa kujitapa kama kweli vile!
Ile BMW kanunuliwa na marehemu Seki.
Nifah hiyo gari seki aliuza 90m ilikua inauzwa 120m ikakosa mteja arusha ndio ikapelekwa dar kuuzwa so domo aliuziwa n madalali w dar
Aiseee; halafu nilitaka nikuite basi tu id yako nikawa siikumbuki vizuri.
Haya poa nilisahau kidogo.