The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 502
- 292
Ya fella mwachie fella tatizo mnafananisha industry ya bongo na YA marekani infact bongo hakuna music industry bali manager anasimama kama label (lebo) so huwezi jua nyuma ya pazia anatumia kiasi gani mpk wale madogo watusue hivi ujajiuliza j-nature yuko wapi tambua said fela ana cha kuwaibia wale madogo maana walikwenda kwake mikono mitupu (from rags) leo hii mpk unawajua yamoto band ni sababu ya mkubwa na wanawe na huwezi jua alipowatoa wale madogo na wamewekeana makubaliano gani ndio maana unaambia fela hawezi kuwaibia wale madogo maana walienda kwake mikono mitupu anachofanya ni mgawanyo wa mapato maana yamoto band sio wale madogo tu kuna watu nyuma yake ebu jiulize ww unacho hata hicho kigari kama unacho mshukuru mungu halafu angalia watu wa kawaida kama aslay maisha yao kitaa... Watu kama nyinyi ndio mnaowajaza upepo watoto kama wale., muulize dogo janja anajua nini wanchofanya watu kama fela nyumba ya chege na temba unaweza kuidharau kumbe hata kibanda huna