Thamani ya shilingi yetu

1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
741
536
307446c7d649a140ec77b84330c0841c.jpg
17a714dc058bac1d3e4cd20666f009c3.jpg

Wakati huo dola na shilingi zikiwa sawa kwa thamani
 
Zamani noti hiyo iliitwa MASAI. Ilikuwa na heshima yake. Siku hizi hata dala dala huwezi kupanda na noti hiyo. JAMANI.
 
1459555041341.jpg

Hapo mmasai haipo ni Mia na mbau au pauni muonekano wa sehemu zote mbili
1459555163650.jpg

Dola ilikuwa na thamani ya shillingi tano na pesa ya kwa Mama au Malkia wa Uingereza Pauni ilikuwa shillingi ishirini.
 
Niliikota hiyo Sh. 10 siku hiyo nikikuwa tajiri mtoto maana mama alininunulia vitenge na kanga na nyingine nikapewa mwenyewe
 
Back
Top Bottom