Thamani ya Shilingi ya Tanzania yaporomoka kwa Kasi

Tangu mwenyekiti wenu aingie madarakani haijawahi kupanda.
mambo ya kisiasa yana athari kubwa katika uchumi.ila hamjui tu.
Zile harakati za makonda na kuwatibua wazungu kwa kujifanya wajuaji ndio.kuna waponza.
mkae mkijua dola ikipanda kila kitu kitapanda bei.na wananchi wa kawaida ndo watakao umia.
Hivi mjingamimi ni kwamba mm ndo sielewi au? Maana naona tangu aingie dola inapanda tu tu tuuuuu!! Sasa ishafikia 2300. Ni jambo la kupongeza kama Mr. jingalao anavyotuaminisha
 
Tutarajie hivi karibuni kubadilishiwa noti.

Mr Sameer Milo, the managing director of the Dar es Salaam-based FX Bureau de change, said it was difficult to explain the shilling’s rapid depreciation in a few days.

“It is obvious that market forces are at play,
but this is not enough to explain this rapid depreciation,” he said
.

Katika maelezo yote huyu Bwana Sameer Milo ndo kaongea point. Huku kuporpmoka kwa Shilingi ghafla ndani ya siku chache hakuna maelezo ya kutosha. Ila kwa Wachumi wazuri wanajua kabisa Mfumo wa Utawala huu wa Jiwe ndo chanzo cha kuporomoka kwa Shilingi.

Siasa za Kiuchumi zinahitaji hikima, weledi na busara ya hali ya juu. Kama unatawala kwa kukurupuka, mihemko na kukiuka misingi ya Katiba,Sheria na Haki za Kibinadamu na huku unategemea kupata MISAADA TOKA JUMUIA ZA KIMATAIFA UNAZO SHIRIKIANA NAZO baada ya KURIDHIA MIKATABA YA KIMATAIFA lazima utegemee matokeo kama haya. Serikali dhalimu inayoingilia Biashara na kuvunja Mikataba iliyokuwa imeridhia tangu awali kama hii ya MADINI lazima ipate taabu sana..!!
 
Pesa za madaf
Thamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya dola ya Marekani ambapo kuporomoka na kufikia kiwango cha chini zaidi katika miaka mitatu iliyopita

Dola moja kwa sasa ni wastani wa Tsh. 2,300 mara ya mwisho kwa kiwango hicho kufikiwa ilikuwa ni Julai 2015 ambapo Benki Kuu ya Tanzania(BoT) iliingilia kati

Mkurugenzi wa Masoko na Fedha BoT, Alexander Mwinamila ameliambia Gazeti la The Citizen la Tanzania kuwa kuporomoka huko kulitarajiwa

Alisema "Hali ya sasa si kitu cha kustaajabisha na kwa kiasi imechangiwa na kuimarika kwa dola dhidi ya sarafu nyengine kwa siku za hivi karibuni."

Aidha, sababu nyingine ni kushuka kwa mauzo ya bidhaa nje ya nchi na kuingia kwa fedha za kigeni kutoka kwenye miradi ya wawekezaji
======

Tanzanians are spending more on importing goods and services as the shilling continues to depreciate against the dollar.

The shilling plunged to a record low of Sh2,303 to the greenback on Monday. The previous record of Sh2,300 was reached in July 2015 before the Bank of Tanzania (BoT) intervened.

A survey of various bureaux de change in Dar es Salaam established that one US dollar was sold for Sh2,320 yesterday from less than Sh2,300 last week.

The BoT inter-bank foreign exchange market report showed that the shilling fell to the lowest rate of Sh2,303 to the dollar yesterday from Sh2,293 the previous week.

Commercial banks sold one dollar for Sh2,354 yesterday from Sh2,298 recorded at the end of last week. The buying price was more than Sh2,300.

BoT marketing and finance director Alexander Mwinamila said the shilling’s standing against the dollar depends on market forces.

“The current depreciation is nothing unusual, and has been partly caused by seasonal factors and a general strengthening of the US dollar across most currencies in the past few days,” he said.

Financial experts told The Citizen yesterday that the local currency’s depreciation to a record low against the dollar was a result of a slowdown of foreign direct investment inflows, low exports, increased yearend dollar demand and appreciation of the US currency.

“We have seen low FDI inflows, which have resulted in limited dollar inflows. At the same time, there hasn’t been a significant increase in our exports,” Mr Joseph Nyamonge, financial control manager at Access Bank Tanzania Limited, told The Citizen.

He added that this is the time of the year when demand for foreign currency, particularly the dollar, rises sharply among importers of goods and services.

“As we head towards December, demand for dollars increases as imports surge ahead of Christmas and New Year festivities,” Mr Nyamonge said.

The US currency has also appreciated against other major international currencies, he added.

Mr Nyamonge said he expected the trend to continue until next February or March when the shilling will start to stabilise.

The local currency has remained largely stable since January last year, mainly due to the central bank’s interventions.

In its monetary policy statement for June this year, BoT said it would continue to implement a floating exchange rate regime through participation in the interbank foreign exchange market for liquidity management purposes and stabilisation of the market in the event of excessive volatility.

Mr Sameer Milo, the managing director of the Dar es Salaam-based FX Bureau de change, said it was difficult to explain the shilling’s rapid depreciation in a few days.

“It is obvious that market forces are at play, but this is not enough to explain this rapid depreciation,” he said.
 
Hivi mjingamimi ni kwamba mm ndo sielewi au? Maana naona tangu aingie dola inapanda tu tu tuuuuu!! Sasa ishafikia 2300. Ni jambo la kupongeza kama Mr. jingalao anavyotuaminisha
Dola ilikuwa ina thamani gani wakati tunapata uhuru ?Umefuatilia trend ya dola vs shilingi ya Tanzania kwa muda gani?
 
Mbona si jambo la ajabu?
Maana si Tanzania pekee. Uliza jirani zetu wa Kaskazini na wanaoTUZUNGUKA jinsi Shilling /hela YAO ilivyoporomoka kwa kasi! hili ni JAMBO LA KWAIDA SANA.

Pia kuna factors/Visababisho vingi vinavyotokana na mambo ya KUPANDA na KUSHUKA kwa thamanai ya fedha.Hivyo basi haina maana ya kusema kuwa UCHUMI wetu ni mbaya.
LA HASHA.!!!

1.Pia Kuna wakati mwingine nchi yeyote huamua KUSHUSHA THAMANI ya hela yake kwa MAKSUDI ili kuleta faida kwa WANAO EXPORT nje ya nchi na hivyo kuinua na KUNUFAISHA TAIFA hilo.

Nchi kama UCHINA inaujua mchezo huo sana.
Sisemi kuwa hili limefanywa hivyo na nchi bali naeleza tu ili isiewe ni ISSSUE kubwa sana..!!
 
Dola ilikuwa ina thamani gani wakati tunapata uhuru ?Umefuatilia trend ya dola vs shilingi ya Tanzania kwa muda gani?
Sasa jingalao, naona umejichokea!! Kwahiyo unataka tuendeshe nchi kwa refference ya mwaka 1961? Yaani Tanzania iliyokuwa na watu mil 7 unalinganisha na Mil 60? Kwanza naomba uniambie kipindi hicho noti yenye thamani kubwa kwa Tanzania ilikuwa shs ngapi? Tuanzie hapo ndo uje na drama zako.
 
Mimi ni CCM na awamu ya Rais kipenzi iliisha na ndiyo maana hunioni sana kama awamu iliyopita.

Bila shaka na wewe sasa umeshushwa kimaisha, kutoka maisha kama ya malaika mpaka maisha ya kishetani {unaisoma namba}.
Oooh! Big up Magufuli, awamu hii wote tunalingana.
 
Aidha, sababu nyingine ni kushuka kwa mauzo ya bidhaa nje ya nchi na kuingia kwa fedha za kigeni kutoka kwenye miradi ya wawekezaji

Kwanini Mauzo ya ne yashuke na uwekezaji umepungua? Je wanajipanga vipi? Maana yake kama hakuna hatua tutazidi kwenda chini

Nadhani usahihi ni kuacha kuingia pesa za miradi......nyingi haziji sasa hivi
 
Bila shaka na wewe sasa umeshushwa kimaisha, kutoka maisha kama ya malaika mpaka maisha ya kishetani {unaisoma namba}.
Oooh! Big up Magufuli, awamu hii wote tunalingana.
Kumbuka, wastara haumbuki.

Walioshuka thamani ni akina nyinyi mliozowea kuiba.
 
anigif_enhanced-buzz-20424-1379352564-10.gif

Hapa kaadhi tu !Hapa kaafhi tu ! Hapa kaadhi tu!
 
Mkuu tatizo bado shule ndogo sana, watu wengi hawaelew chochote juu ya uchumi wa sasa. Jiwe yupo vzuri endapo atapata washauri wazuri ila sio hao waliopo, Nashangaa sana Bunge na Mahakama nilichokisomaga kuhusiana navyo ni tofauti kabsa na nachoona, Nahisi walimu walikuwa wanaongopa ila ukweli ni kwamba ni taasisi zilizo chini ya serikali
 
Back
Top Bottom