Thamani ya Shilingi ya Tanzania yaporomoka kwa Kasi

Yaani yote hayo bia tatu.
Ndio maana nikauita umilionea feki. Yaani nchi inafikia mahali kila mtu mpaka mchoma mahindi anamiliki mamilioni ya fedha lakini huo umilionea haubadilishi hali ya maisha yake.
 
Dah! Ukisikia umilionea feki basi ndio huu. Hapa karibuni tunaenda kuwa mamilionea feki. Wale waliokuwa wana ndoto za kuwa mamilionea basi watembee vifua mbele, maana muda si mrefu ndoto zao zitatimia.
Yaani yote hayo bia tatu.
 
Tumempa dhamana mtu anayejitia kujua kila jambo . tumejipalia mkaa siku tutakapoambiwa mkate mmoja ni sh 10000 tutatamani tukimbilie kwa trump kama wanavyofanya mataifa . angalia mfano mzuri Yemen
Mkuu kuna watu wanakesha humu kumtetea na kufanya propaganda za hovyo ili wasikose kushibisha matumbo yao. Tanzania kuna watu ni wanafiki, usipokuwa makini kama kiongozi unaweza kuingia shimoni ukavunjikavunjika na bado wanakuambia uko kwenye right truck.
 
Nilitarajia huyu mkurugenzi angetoa solution ya hili tatizo, ajabu na yeye kaingia mitini
Aidha, sababu nyingine ni kushuka kwa mauzo ya bidhaa nje ya nchi na kuingia kwa fedha za kigeni kutoka kwenye miradi ya wawekezaji

Moja ya sababu aliyotoa ni hiyo sasa unataka atoe solution ya tatizo kweli hadharani? Hauko serious.Acha aingie mitini tu mimi nampongeza kwa hilo. Maana leo kabla jogoo hajawika mara tatu, Msigwa angekuwa hewani na taarifa toka mjengoni.
 
Back
Top Bottom