Thamani ya Shilingi ya Tanzania yaporomoka kwa Kasi

Tangu mwenyekiti wenu aingie madarakani haijawahi kupanda.
mambo ya kisiasa yana athari kubwa katika uchumi.ila hamjui tu.
Zile harakati za makonda na kuwatibua wazungu kwa kujifanya wajuaji ndio.kuna waponza.
mkae mkijua dola ikipanda kila kitu kitapanda bei.na wananchi wa kawaida ndo watakao umia.
Na ndio hao wanaomshangilia ngoja sasa waishi kama wapo jehanam... Watanzania tumeingiziwa roho ya kichawi ile ya tukose wote tufanane 😔 😔 😔
 
Under Magufuli, Tanzania is dying slowly.
Magufuli hana dhamira ya dhati ya kuendeleza nchi, nia yake ni kuona anajenga majengo na miradi mikubwa kwa mikopo mikubwa yenye tiba kubwa na masharti magumu sana, ilimradi tu, amfunike Nyerere.
Mpaka anamaliza utawala wake, Magufuli atatuachia mzigo Mkubwa sana wa madeni.
Halo achilia mbali kesi ambazo zinafunguliwa Kila kunapokucha kwa sababu ya Magufuli kuvunja mikataba kiholela na maamuzi ya kukurupuka.
That's my girl
 
Msela anaenda kununua mkate huko mbagala ndio hali inakoelekeaa

1.6367527.jpg

Hii serikali na huyu raisi wake wa mbugani ni hasara kwa tunu ya taifa letu "heshima"
 
Back
Top Bottom