Unaongea ili siku ziende ujifungue mtoto wetu tuliyemuweka tumboni mwezi machi. Ni kawaida ya mwanamke mwenye mimba kuongea utumbo kama huo hatushangai.
Huko benki nilikwenda na wewe wakati namsajili Danny wewe ulikuwa hoi kwa ujauzito wa mimba ya zile bao mbili za mtani jembe.
Watachukuaje ubingwa wakati wachezaji wanatumia mizizi ya matambiko kama njia ya kuharalisha ushirikina..
Wao WANAPENDA UCHAWI KULIKO UBINGWA.
Hawawezi kubisha hapo!
Eti kisa performance ya Yanga Fc katika ligi Kuu ya Msimu huu imechangia wao kutopata mapato ya kutosha.
Kwa lugha nyingine Yanga Fc imekuwa ilifanya vizuri kuliko Mikia FC NA hivyo mashabiki walikata tamaa mapema kwamba simba Sc hawezi kushindana na speed ya Yanga Fc.
Kweli kabisa mkuu, nashauri walimu wanaofundisha shuleni wakitaka wanafunzi wao waelewe nini maana ya ukoloni wawe wanawatolea mfano wa litimu la yanga na bwana wao manji.
Eti yanga wananunua mechi, ina maana simba waliwauzia mbeya city na stand united ili kupata hela ya kulipa madeni?
Hata hujui anayeisaidia yanga ishinde ni nani, ndiyo maana wenzio wanaoijua siri hawataki kuitisha uchaguzi maana akiondoka tu yanga imekufa. Mechi za kununua itakuwa ndiyo mwisho wake.
Hawawezi kubisha hapo!
Eti kisa performance ya Yanga Fc katika ligi Kuu ya Msimu huu imechangia wao kutopata mapato ya kutosha.
Kwa lugha nyingine Yanga Fc imekuwa ilifanya vizuri kuliko Mikia FC NA hivyo mashabiki walikata tamaa mapema kwamba simba Sc hawezi kushindana na speed ya Yanga Fc.
Simba pekee ndiyo yenye kupata matokeo halali uwanjani. Hata Barcelona inafungwa na timu kama stand united lakini sio mfululizo kwa Yanga kwa Simba.
Nyinyi kuifunga Mbeya city mpaka mnunue kipa wao ndio maana mpaka sasa hivi kijana wa watu amefungiwa anakufa njaa huku nyinyi toka mumpe buku 10 ile mmemsahau.
Milioni 700?? Kwa lipi?? Wachezaji wenyewe wa bongo viwango vyao haviko consistent vinayumba kama Homa za vipindi. Na asilimia ngapi ni ya magazeti maana nayo yanampa promo sana
Wee ndo MBULURA kabisa,mashindano ya Club Bingwa Africa hushindaniwa na Club Bingwa za nchi husika kwahiyo mfano wako wa Al Ahly kukutana na Zamalek ambazo ni team za nchi moja hauna mantiki ksbb nchi moja haiwezi kuwa na mabingwa wawili.....ndugu hamna klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa, nakupa somo na waandishi wenu wa kibongo uchwara. mashindano ya kimataifa yanachezwa na timu za taifa. haruna niyonzima hawez kucheza mechi ya kimataifa na timu ya tz na ndio maana unaimbwa wimbo wa taifa. tatzo mmezoea huku kwenu zinaenda tm mojamoja kwn mashindano ya vilabu, je ikitokea zamaleck na al ahly zikikutana kwn klabu bingwa afrika utaita gemu ya kimataifa? au atletico madrid walipocheza na real madrid juzijuzi kwn klab bingwa ulaya ilikuwa mechi ya kimataifa? yeboyebo kweli hamnazo