Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,589
Watatumia 4figureSwali gumu halijibiki kabisa hili hata Aristotle Ptolemy Marcus Aurelius nk hawawezi kulijibu.
Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Jr[emoji769]
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.
Hivi mtu huyu mmoja thamani Yake ni sawa na wananchi wangapi?.
Hakuna kitu kama hicho, huu utakuwa ni uongo na uzushi.Duuuh...kama kweli kuhusu machine limefanyika hilo jambo.... hiyo ni ubinafsi wa levels za juu kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna rais mwingine duniani aliyepata wazo la kutest corona kwenye mapapai?Msomi kuliko Nyerere
Mkuu Mshana, this cannot be true, huu utakuwa ni uongo na na uzushi!.Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Jr[emoji769]
Hilo gari ambalo liko fully equipped ni kubwa kiasi gani Cha kuweza kubeba mashine zote za afya?Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.
Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1,anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.
P
Haya mambo yanachanganya sana kaka.Mkuu Mshana, this cannot be true, huu utakuwa ni uongo na na uzushi!.
P
Uongo mwingi, uzushi mwingi!.Haya mambo yanachanganya sana kaka
Jr[emoji769]