Thamani ya mke

Hapa ndipo unapomshauri mtoto wa kike awe na ka biashara kake ka dogo, sasa hali hiyo mtu unachanganyikiwa kabisa. Kama vitafunwa ni kazi hapo kuna hela ya saloon kweli?
 
Hebu ona, Maskini mama WA watu.

Ila Mungu anaona, and trust me sijui maandiko yanasemaje ILA am very sure wanawake Mnathawabu kubwa Sana mbele za haki.

Mungu anawaona kwa namna ya Pekee. Ndiyo maana wanawake mnazeeka mapema coz mnafanya mambo mengi Sana kuliko wanaume.

Kila siku moyo WA mwanamke unajeruhika.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mkuu huyo mwenye ndevu
 
So sad ,Mungu amsaidie jamani,tena mzazi nawaza hiyo njaa na majukumu
 
Wanawake tuna roho ya kipekee sana
Hawa viumbe hawa wanahitaji uvumilivu wa hali ya juu
Kuna vitu vingine vidogo tu mwanaume hawezi kufanya mpaka akuite wewe mwanamke ambae umetingwa na majukumu uje ukifanye
Mungu awabariki wanaume wanaojali wake na familia zao kwakweli
 
Kweli aisee, halafu ni daily.....na hapo ukute kuna ka-kid kamoja ndo utashika adabu---- Respect to all responsible Mamaz
 
Kwakweli na awabariki sanaaaa. Familia nyingi zimebebwa na wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…