Thamani ya Kiswahili: Watu maarufu duniani wenye majina ya Kiswahili

Kuna mchezaji mmoja alikuwa EPL sijui kama mpaka sasa yupo anaitwa Lugano...neno la kinyakyusa likimaanisha upendo
Diego Lugano ni Mrugwai (Uruguayan) huyu bwana. Ni taifa moja na Luis Suarez na Edinson Cavani, nadhani kwa sasa hachezi soka la kimataifa (ametundika daruga)
 
Salamu za bibi ni baraka
Huyu bibi kiumri ila kimatendo ni binti kigori.

Kawaida mtu akiwa anazeeka anarudi katika hali ya utoto.

Hivi unajiuliza anakuwaje bibi kabisa ana mtaja kijana mdogo wa kuweza kumzaa katika hali hii, kwamba jina "Zurri" analinganisha na jina "Zuri" ,huyu bibi ana jambo analitafuta toka kwangu. Ila nampa udhuru.

Lakini, ukitazama alikuwa hana haja ya kunitaja kabisa katika huu uzi, sasa sijui anataka nini toka kwangu. Itabidi nimfungie safari mpaka PM nimuulize nini cha mno bibi ?
 
Black Americans kutumia Kiswahili mbona sio ajabu? Kuna sherehe zinaitwa Kwanzaa celebration huko Marekani, mwanzilishi wake aliitwa Maulana Karenga. Japo sioni kama ni ishu kubwa

 
Talib kweli alinifikirisha sana...nilifikiri ana asili ya Tanzania,kumbe ni jina
tu ..pamoja sana.
 
Black Americans wanapenda sana Kiswahili, unaweza kushangaa. Kuna jamaa nilimkuta Seattle anajiita "Askari Bora"...Nilishangaa.
 
Wote tumeelewa.

Binti anaitwa si I wewe kijana wa "kiume" kujiita Zurri.

Kuna siri tena hapo au cha ajabu?

Hapo pole Kwa wazazi tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…