Thamani ya chupi yako. Ilinde chupi, imebeba maagano, imebeba laana, imebeba baraka, imebeba mapepo

Ahsante sana kaka mshana kwa elimu murua sana, nashukuru kwa kutukumbusha juu ya kuziheshimu sehemu zetu za siri nacwale ambao tunaoshirikiana nao kuzifanya tendon la ngono limebeba baraka likifanyika kwa usahihi na limebeba laana likifanyika vibaya. Neno La Mungu linasema apatae mke apata kitu chema kumbuka ni mke wako wa ndoa.
 
nahavache thaana

Jr
 
Chupi za upako.... Dunia inakwenda wapi? Kwa kumuweka huyu nabii feki kwenye njiia ya uke kiroho ina tafsiri mbaya sana.. Yani utakuwa mateka wake huku ukimongezea nguvu nyingi za giza... Na bado hiyo chupi anakuuzia... Na kwa jinsi wanawake wengi wanavyowaamini hawa watu kwa haraka..... View attachment 1317929View attachment 1317930

Jr
Mwanamke anamwamini mganga wa kienyeji au mchingaji wa kanisa kuliko mume wake yupo tayar ata kugegedwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahana hapa nakupinga mwanzo mwisho, siamini kama Mungu kwa namna yoyote ile anahusika na mambo ya kitandani, hapa namaanisha Yesu, hakuna namna wanapokutana wawili wa jinsia tofauti kimwili Mungu akawa shuhuda wa hiyo kazi yao, yote uliyoandika pale juu ni ya shetani.
 
Sawa asante naamini kwa dhati ya moyo wangu hujaelewa nilichomaanisha.... Mungu yunasi wakati wote ndio maana hata shetani anapotaka kututia majaribuni huomba ruhusa kwake
 
Kuna hisia za ajabu na raha ya aina yake pale inapofikia sehemu muhimu ya kuchojoa chupi... Ni moment yenye ladha ya aina yake hasa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ama kwa yule umpendaye....
Uvuaji huu wa chupi ni ibada ya kiroho yenye pande mbili hasi na chanya...
Wanawake wote ambao nimewahi kupita nao walikua ni Wahuni na Majambazi wa Mapenzi hapo elewa neno 'Wahuni'
 
Tunafeli sana sababu ya tamaa , ndio mana kiroho hatubarikiwi kumbe Kuna viumbe vinakasirika
27662d8e548c2a4553aa02a941955113.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom