nakupenda zaidi.
Ahsante.
:wink2::wink2::wink2:ahsante the finest wangu.
Hivi umeshawahi kufikiria siku utakayoamka unajikuta upo peke yako nyumba nzima, njiani hukuti mtu, unafika kwenye kituo cha daladala magari yapo ila hakuna mtu, ofisini napo hukuti mtu.
Unajihisi mpweke unaamua uwapigie simu watu wako ila Simu zinaita hazipokelewi. unafungua JF unakuta threads kibao ila hakuna mtu online.
Unagundua kuwa umeachwa mwenyewe hapo ndipo unaanza kuona umuhimu wa watu.
Umuhimu wa watu huonekana pale tunapowakosa ila hatutakiwi tusubiri hadi tuwakose ndio tuoneshe kuwa wao ni muhimu kwetu.
Wana jf wote ni muhimu kwangu na ninawapenda sana, sitaki kusubiri hadi niwakose ndio mjue mlikuwa muhimu kwangu.
Nawatakia siku njema na mungu awabariki.
Kuwa wengi sio tatizo, wanaweza kuwa wengi lakini wakawa USELESSSijwahi kukosa WATU ndiyo maana sijui umuhimu wa WATU!
- Nyumbani nina extended family tupo 20
- Kwenye Kituo Cha Daladala Mbagala Mwisho ni Umati wa watu 24/7
- Kwenye DalaDala nyomi kama kawa
- Ofisini kwetu sisi ni makuli na kuna wengine wanasubiria mmoja afe waingie mzigoni
- JF Online members at any given day ni 6,000 na ushee
WATU ni wengi saaaaaaaaaaaana!
Kuwa wengi sio tatizo, wanaweza kuwa wengi lakini wakawa USELESS
Ahaaa ahaa ahaa Elia umenifurahisha na kunikumbusha mbali sanaThanks Husninyo, wewe na jf ni wamuhimu sana, na hawa muuza vitumbua, duka, konda, maji, trafiki, madafu, chips nk.. nk. ni muhimu
Thanks Husninyo, wewe na jf ni wamuhimu sana, na hawa muuza vitumbua, duka, konda, maji, trafiki, madafu, chips nk.. nk. ni muhimu