Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,434
- 14,896
Imagine angetekwaKiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Msicheze kabisa na damu za watu saa hizi mnatoka waziwazi na kukiri nchi inaendeshwa na genge la wauaji na watekaji.Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Nimecheka mpaka nimejikojolea🤣🤣🤣🤣🤣😁😁Aaah mange watajitahidi hata wampige shoti za kwenye chuchu kabla hawajamuachia
Bila kuwa Mmarekani angepotezwa tu kama Polepole, Mdude, nk
Kuna nchi ukiwa raia una kila sababu ya kujivuniaKiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Mtu anakamatwa nchini kwake na wanaondoka naye hii itamtisha kila mtuHii ya Maduro ilinikumbusha "who are you" ya Samia.Ila Samia bwana kichwa maji sana.
Kesi ni kwa watanzania, sio wamarekani.Ameachiwa kivipi tena na kesi je
Ukiishi hapa inabidi uwe chawa utumike kisha utupwe. Mfano Balile sasa hivi kawa chawa wa ajabu, lakini juzi anajiliza gazeti linakumbwa na hali mbaya ya kifedha.Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Kuna vitu vya kiufundi walivyo fanya na zaidi akiwa ni raia wa nchi inayo jieleweSamia ndo aliagiza huyu bwana akamatwe,naona kilichotokea Venezuela Leo kimemuogopesha huyu nyang'au kaona amuachie
Samia the Butcher
Ukiwa raia wa marekani zitafanya hata jumapili usiku wa manane, maana kimsingi mahakama ni majengo tu wenye maamuzi na hizi mahakama ni watawala.Mahakama zinafanya kazi Jumamosi?
Yakubumba kama zile zingine.Baada ya kibinyo cha Mmarekani wametepeta chapu.Ameachiwa kivipi tena na kesi je
kwani Katiba yetu inasemaje..??
Bora umempa ukweli wake.Enzi za awamu ya 5 ulikuwa Pro- government, naona kwa sasa umeamua kuasi mfumo kama ndugu zako kina Idugunde Mzee Mwanakijiji
Kwa Sasa kina Stuxnet gallow bird Lusungo wamechukua nafasi zenu.
Kweli Kila masika ina mbu wake.