The liver between
Senior Member
- Mar 9, 2012
- 184
- 312
Hiyo nilikataa siwezi kufua boxa ya mwanaume akisikia maandamano anakata ticket akajifiche mkoani 😹😹vipi umeanza kufua boxa
Tena hizo ndio za kihuni promaxKWani unafikiri simu kutoks ubalizi wa USA ni za kihuni kama alizosema Ristam?
Yaani wamuue raia wa Marekani?Huyu watamtengenezea ajali sio kwa njia ya mahakama
Samia Suluhu Hassan.After dictator Maduro who is next?
Hapo jaji yuko kanisani anafatwa masikini ogopaa kitu kubaha, ninge kua Mimi ninge zima simu alafu nikaingia chimbo kuwarusha rohoIlikua dharura. Hakimu kaitwa toka huko mapumziko ya weekend
TAREHE 31 ALIPANDISHWA MAHAKAMANI, INA MAANA HUJUI? AU UNATAKA KUJISAFISHA, WE WA WAPI MKUU? MBONA MNAPENDA KUDANDIA KESI BILA KUULIZADhama ya kipolisi, hakuwahi kupelekwa Mahakama ili awekwe ndani
Msingi wa utumwa umejengeka kwenye fikra za mtumwa mwenyewe.Kuna jambo haliko sawa hapa.
Nimesoma michango yote hapa zaidi ya ishirini, yote ikisifu na kushangilia Marekani kuwa na nguvu za kuwatia jambajamba hawa waovu.
Sikuona hata mchango mmoja tu ukisema nguvu waliyonayo waTanzania ya kuwatia adabu mashetani hawa!
Inamaana waTanzania kwa ujumla wetu wote ni wanyonge sana!
Hivi kweli tutasubiri wamarekani na wa aina hiyo ndio waje hapa kutuondoa kwenye utumwa huu?
Tuwape nini hao wamarekani waweze kuona kuwa tuna umuhimu wa wao kuja kutuokoa?
Au tuseme hivi: kwa nini tusitumie fursa hii ya kumwokoa Kweka kwa sisi wenyewe kuwaonyesha hao wakubwa kwamba tunahitaji kuungwa mkono tu katika juhudi zetu wenyewe za kujiokoa?
Ni fikra tu zinavuruga kichwa.
Basi siku ingine tumieni akili msikamate watu hovyo wengine hawakamatiki kama sisi hoehae.Tena hizo ndio za kihuni promax
Mashtaka yake yalikuwa nini, na nini Maamuzi ya Mahakama siku hiyo ?TAREHE 31 ALIPANDISHWA MAHAKAMANI, INA MAANA HUJUI? AU UNATAKA KUJISAFISHA, WE WA WAPI MKUU? MBONA MNAPENDA KUDANDIA KESI BILA KUULIZA
PANDA BASI NENDA MOSHI KAWAULIZE, AU VITUO VYA POLISI HUVIJUI?Mashtaka yake yalikuwa nini, na nini Maamuzi ya Mahakama siku hiyo ?
Na sasa hivi amepewa dhamana ya kimahakama au ya kipolisi
Kwa kweli inasikitishaDelta force, they don't play games, they mean business. alafu anakuja mtu anashika kiuno na kusema who are you? Nchi ambayo bado inaomba pesa za miradi ya kuchimba visima vya maji, nchi ambayo haiwezi kutengeneza hata engine oil? nchi ambayo wakuu wa vyombo vya usalama wanapewa maelekezo na Abdul Amer, utaweza kweli kupambana na mifumo ya mabeberu? Majitu yenye technology ya hali ya juu ,uchumi mkubwa na wenye weredi wa kiwango cha juu,
Haya maneno machache, laakini imenilazimu niyasome mara tatu na kuyatafakari vizuri niweze kuwa na hakika nimeelewa unacholenga kukieleza.Msingi wa utumwa umejengeka kwenye fikra za mtumwa mwenyewe.
Tangu miaka ya kudai Uhuru mapambano yanaendelea kubadilisha fikra za watu wetu.Haya maneno machache, laakini imenilazimu niyasome mara tatu na kuyatafakari vizuri niweze kuwa na hakika nimeelewa unacholenga kukieleza.
Sasa kama ndivyo ilivyo hivyo mkuu 'lebabull', huyu "mtumwa" yeye kaumbwa kuwa mtumwa, maisha yake yote au siyo?
Hizi "fikra za mtumwa" zinaanzia wapi kujijenga ndani yake. Kuna uwezekano wowote wa kuzifuta akilini mwake?
Kama uelewa wa Waziri Mkuu ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Serikali ndio ule wa Mwigulu Nchemba unategea nini? Moja katika hotuba zake za mwanzo kabisa alidai mabasi ya Esther sio ya kwake kwani mama yake haitwi Esther na mke wake anaitwa Neema huku kasahau Brela Kuna jina la kanyaboya mmoja na mke wake Neema. Kwa system hii ya kina Mwigulu kuji expose ni automatic. 😉😉Nadhani wahuni wamepata jotro baada ya kuona ya venezuela wakaona wampe dhamana na watamuachia huru US Citizen.
Ila tunajiexpose sana juu ya ujinga wetu wa kutokuwa na systems everywhere mambo yako shaghalabaghala.