Nakumbuka ahadi....ahadi za mdingi....
- kwamba atatoa ajira milioni
- kwamba tatizo la stima litakua la historia
Sasa nimeanza kukua.....na hivi ndivyo ninavyoelewa maana ya ahadi ya mdingi
- Atatoa ajira = atapunguza ajira milioni (kutoa maana yake ni kupunguza au deduct)
- Kweli tatizo la stima ni historia.....ni kubwa....ni sawa na njaa ya mwaka 74 na 84....ni historia
Its only a chit chat....nawashukuru TBL/SBL&Distillers wetu.....angalau leo ni ijumaa.....
Biya....biya...mgao....biya.....
Ok....biya...nina cha kufurahia leo...biya....tilalila...biya...
Ijumaa njema wakuu....enjoy*responsibly!
BIYA - TGIF