Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
ndio umem...fodododo (desh desh)
Hahahaha fodofodo ndio nini?
Au mnaongea kwa Kisukuma mimi sielewi? :lol:
ndio umem...fodododo (desh desh)
utafiti nilikuambia umeshakamilika, ka-inzi kalitumwa mpaka jijini atlanta huko jimboni jojia na kalifika mpaka kwenye jili la mizuri huko kwa mtakatifu luizi
ps. katika ile group yenu iliyounganisha sinza road na simba road kulikuwa na jamaa fulani white kiasi jina limenitoka, alikuwa na dada bomba sana - hebu nikumbushe
He he he he, hata kwetu ni very rolalty almaarufu Kongo Clan.
Sio kirahisi hivi
Itabidi nivunje taboo
Nitapambana na huyu mwanamme hadharani
NN, lazima kuwe na uchaguzi na tume iwe huru.
hahahahaaaa cha kukuzimisha nini baba wewe badala ungefungua mikono ukajitwalia katoto jamani?
anyway hapa si kufananishwa bana (na wewe sijui unafanana na wangapi?)
yule mwenzio mnayepigaga naye soga za mlimani, ukiacha Companero...lol!!
Hako ka-nzi kako kameleta taarifa za uongo!
Sijawahi tia mguu Oshkosh mimi. Na sijawahi kuwa na group. I've always been solo.
"i never had ...with that woman" - william jefferson clinton
Tafuta nzi mwingine. Huyu wa sasa kakuingiza mkenge!
Sio kirahisi hivi
Itabidi nivunje taboo
Nitapambana na huyu mwanamme hadharani
NN, lazima kuwe na uchaguzi na tume iwe huru.
hivi yule family friend wenu wa idara ya sosholojia aliyetafiti sana imani za dini na ngoma za kiafrika mnawasiliana ?
Konnie utaweza kuchekacheka bila mpango wewe?
Nataka kongosho acheze ngoma moja nimthaminishe kwanza!Lazima, usimuache hata kidogo ......hata ngoma hazijui lakini anataka urais!
Wewe kwenu ni wapi? Lalagu au Sayu Sayu?
Companero mbona umegeuka Ganesh tena?
Kongosha kama tu anatoka hapo nampigia kampeni...lol!!!
Hawezi kukaa asitaje Kilima kile, sijui kuna mtu alimlisha limbwata! huuuh
:lol:
Na wewe unatafuta Msukuma?