TGIF: Yote tisa ngoma ni za Wasukuma, Wangoni na Wamakonde! hamtaki!!

Ngoma ni zaidi ya burudani:

Utamaduni wetu wa nyimbo na ngoma nao ulishambuliwa sana na wakoloni japo ulikuwa na umuhimu sana kwa jamii zetu. Kwa mujibu wa Terrence O. Ranger (1969) katika karne ya 19 ilibidi jamii za Kisukuma na Kinyamwezi zianzishe jumuiya za ngoma/nyimbo za siri. Walitumia jumuiya hizi kusaidiana kimaisha. Sehemu ambazo wamishionari waliingia ngoma zilipigwa marufuku miongoni mwa waumini wapya kwa kisingizio kuwa zinapingana na dini ya Kikristo. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa wakoloni walipinga utamaduni wa nyimbo na ngoma kwa sababu ulikuwa ukichochea fikra za ukombozi na si kwa sababu tu waliona kuimba na kucheza ngoma ni kutostaarabika. Hii inathibitishwa na historia ya moja ya nyimbo maarufu za kudai uhuru. Kwa mujibu wa Mfuko wa Utamaduni (2007), mwaka 1958 kule Tabora wimbo wa Kinyamwezi ‘Oho Sasi Chabela Mitwe' uliotumiwa wakati wa ukinzani dhidi ya utawala wa Kijerumani uligeuzwa na kuwa"Oh TANU Yajenga Nchi."
 
Wewe kwenu ni wapi? Lalagu au Sayu Sayu?
Kwetu ni Ngulyati karibu na Igalaya

Lazima, usimuache hata kidogo ......hata ngoma hazijui lakini anataka urais!
Simuachii kirahisi, wakiwezeshwa wanaweza lol

Konnie utaweza kuchekacheka bila mpango wewe?
Nitauajiri, uchezee bandama yangu ili iwe rahisi kufanya 'kicheko management'


Nataka kongosho acheze ngoma moja nimthaminishe kwanza!
Ngoja nikupe intro kidogo

Nene natahoyaga na munhu atina digiriii
Nakikalaga na li ntwe lya la mawazo ....
 

QK


Jokes aside, sikuweza chochote, nilitaka kujaribu kumpiga mtu ban ila hata sikuweza. Nadhani hawakunipa haki zote :A S embarassed:

The only thing I saw was Jukwaa la Wakubwa....and I went eeeeeeewwwww
 
QK


Jokes aside, sikuweza chochote, nilitaka kujaribu kumpiga mtu ban ila hata sikuweza. Nadhani hawakunipa haki zote :A S embarassed:

The only thing I saw was Jukwaa la Wakubwa....and I went eeeeeeewwwww

Loh! afadhali.

Speaking of jukwaa la wakubwa....wewe kule sijawahi kabisa kukuona. Ni unatumia jina jingine ukiamua kujivinjari huko au ni hauingiagi kabisa?
 
Loh! afadhali.

Speaking of jukwaa la wakubwa....wewe kule sijawahi kabisa kukuona. Ni unatumia jina jingine ukiamua kujivinjari huko au ni hauingiagi kabisa?

Kule sijawahi kuingia, na siingii kamwe.

Sitaki kuwa kwenye statistics :A S embarassed:
 
Ngoma za wahaya zinaweza zisiwe nzuri sana lakni uzuri wao hawaonei aibu utamaduni wao. ukienda kwenye sherere zao hata kama ni mjini atleast watu wataserebuka kijadi kwa ngoma moja au mbili..Wengine dah lugha na tamadni zao zinakufa na kupotea kwa kasi na ngoma ikiwemo.

Tunahitaji Wizara ya utamaduni itafute wadau waandae matamasha ya utamaduni na ngoma wala mara moja kwa mwaka.

Tusiishie kwenye Bongo star search tu.
 
Back
Top Bottom