TGIF: Yote tisa ngoma ni za Wasukuma, Wangoni na Wamakonde! hamtaki!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TGIF: Yote tisa ngoma ni za Wasukuma, Wangoni na Wamakonde! hamtaki!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 27, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,767
  Likes Received: 4,147
  Trophy Points: 280
  Tulikuwa tunapiga soga na mshikaji wangu mmoja na kukumbushana enzi zetu kule kijijini. Tutakumbuka jinsi tulivyopenda kwenda ngomani. Kwenye kijiji na Maramba kule Muheza Tanga kuna jamii kubwa ya Wamakonde. Kwa kweli hakuna wakati ulikuwa wa furaha sana kama kwenda kwenye ngoma zao. Kwa kweli tukaanza kubishana ni ngoma ipi nzuri sana, inasisimua na ambayo hata kama ukiwa mtu wa kabila lingine bado ungependa kwenda kushuhudia.

  Kwenye orodha yangu nikawa na hawa watatu (tulikubaliana na mshikaji)

  a. Wangoni (najipendelea hapa) Kitoto, Kioda (chioda kwa Wanyasa), Lizombe n.k "Nilipokuwa mwenyewe mbona hamnisemi"; "Tuselebuke, malamala kamula"


  b. Wamakonde - "nipe kitabu nisome niwafundishe wajinga" - Sindimba hiyo!


  c. Wasukuma - (Gugobogobo) ngoma za mavuno na mashindano (those days kule Bariadi duh!)
  Sijui wenzangu mnakubaliana!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wasukuma oyeee

  [hahahaha]
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Oyeee!

  Ukinionea bht mwambie aje atusaidie kupiga vigele gele!
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Naona mnataka kuanzisha ngoma ya mavuno humu humu ndani!

  Hii thread lazima bht atie timu, subiri kidogo tu
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  Hiyo B, inanikumbusha miaka ya themanini, nikiwa sijui la pili shule ya msingi Kitongo (Nzega); kwenye sherehe za CCM, mwenyewe nilikuwa nachezea ngoma ya shule, niko mbele nakatika kinoma (nilikuwa napenda sana sifa) kumbe baba yuko jukwaa kuu. Narudi home, mdingi kanipiga stop kucheza ngoma. Niliumia, kwani sikuelewa why!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wapi wanacheza nikaangalie?
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Hiyo C inahusu sana "CHAGULAGA"
   
 8. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  acha bht,prezdaa lazima atie maguu hapa
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Gee na Sweetlady....
  Ndo shakuja sasa! Hehehee
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Enheee...Aje atueleze anajua ngoma za kwao au Msukuma jina tu!
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Oyeeee
  Sukumas for life....heheheeee
  Ngoja nikamtafute na nanii aje hapa, leo lazima tuicheze hiyo ngoma ya mavuno!

  Gee umenionea nanihiii!? Namtafuta sijui kapotelea wapi?
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,420
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  yale mashindano ya wasukuma kwenye ngoma ilikuwa ni balaa enzi zetu. maana mwisho wa siku inaweza ikawa ugomvi. kwetu napenda ile ngoma ya kistaarab, staff beni sijui band. nahisi kama inakufa sasa, wale wazee waliokuwa maarafu wanaiendeleza wengi wao wamefariki. Bongo flava inatawala mpaka kijijini sasa
   
 13. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wamaasai mumewasau jamani
   
 14. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sangura...uliza wapogoro na wandamba, halafu kidooogo na wabenamanga..(hahahahha!)

  Sangura madele na mapilipili,
  Sangura madele na mapilipili,
  Aehh, ahhhh,
  Sangura madele na mapilipili na mapilipili.....
  ........inaendelea

  Du nimekosa manyanga tu hapa..:lol:
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahaha nanihii eee!

  Ngojea nikakuitie. Leo tukimaliza ngoma ya mavuno lazima tuingie na ya ndoa kabisa
   
 16. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,023
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 180
  Mimi si msukuma ila napenda ngoma yao..tena kuna nyimbo moja inapigwa sana kwenye maharusi yani wakicheza na kuimba, nafurahia! Siyajui maneno ya wimbo
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  BJay
  Usikae mbali na hii thread, tutakuhitajia kwenye sekta ya ngoma ya harusi.
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Msinikumbushe Redio Tanzania Dar Es Salaam mimi jama!...Hivi iliishiaga wapi hiyo redio?
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hehehe! Usingekuja ningeandamana...lol
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,767
  Likes Received: 4,147
  Trophy Points: 280

  ooh ile ya "kwilole kagandakaganda...sunda sunda"?
   
Loading...