Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 128
Jana usiku wakati najiandaa kwenda kulala, kuna kitu kimenigusa akilini. Hicho kitu sio kwamba kimenigusa kwa mara ya kwanza, ila tu jana kimenigusa tofauti kidogo na siku zingine
..kwenye mida ya saa nne usiku, baada ya kumaliza kuflip flip channels, nikafungua kalenda kuangalia ni bills zipi ziko past due ili nijitutumue nilizipe kabla sijakatiwa huduma muhimu. Baada ya hapo, nikajizungusha zungusha kibandani kwangu, mpaka nikaishia maliwatoni kwenda kufanya usafi wa mwisho kabla sijajitupa kitandani ..
..then something struck me this is it, this is so called life! .wake up in the morning, go to work, spend all day sweating to make someone else rich, come back home, flip channels, put kids to bed (for those with kids), go thru bills, brush teeth, and jump to bed. At 6:30am the following day, the f#*@ cuckoo clock makes the lousiest muthatapen sound time ya kwenda kubeba boksi imewadia tena .
I mean, is there anything else out there, other than same ole routine? Gar-lee !!!!!