TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,460
29,157
Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
FB_IMG_16598482995954946.jpg
 
Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi, kumbe nae hamna kitu, ameiharibu sana title yake ya "Rais wa klabu".

Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za mpira ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.

Kwani ile haikuwa shughuli ya mpira? Kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu kali kwa wote wawili.
 
Back
Top Bottom