covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,904
- 10,705
Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini
Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick wakati ilikuwa ni kona.
Kwenye hili TFF wasaidieni young african ni ugeni wa mashindano haya ndio umewatia unyonge jana
nawaambia ile jana ingekuwa team ya waarab jana wangegoma kucheza mpira kushinikiza refa akaangalie kwenye VAR.
Video yenye hii hapa angalia kuanzia sekunde ya 30