Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,041
- 134,310
Mkuu kwema??
Walikuwa na haraka gani wasihariri?Mkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufi mbili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika
Na kukamata madawa ya kulevya, basiTanzania ya sasa elimu si kipaumbele tena, ili mradi unachapa kazi tu kama Bashite hio ni cv tosha
Pia alikuwa anakimbilia kuwa wa kwanza post,alishindwa hata kuhaririMkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufi mbili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika
Ni kwel kabisa ulichosema/waza Lakin kosa lao ambalo linajirudia mara nyingi ni KUTOKUHAKIKI(KUEDIT) KAZI zaoMkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufi mbili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika
Usihararishe kosa ww. Kwanin hawakuhariri(edit)HIYO SIO BROKEN WEWE.HIYO NI KUCHANGANYA HERUFI TU.
KWENYE KIBODI R NA E ZIKO KARIBU MNO.NI KOSA LA KAWAIDA KABISA
Si waandike kiswahili tu