Nahisi ile ishu ya Kibwana Shomari kubebwa msobe msobe mikononi mwa mtu ili kupelekwa kwenye gari la ambulance ndiyo iliyopelekea kufungiwa kwa huo uwanja.TFF wakiona yanga inafanya fresh huwa wanaumia sana mkuu
Ilikuwaje kuwaje😅Nahisi ile ishu ya Kibwana Shomari kubebwa msobe msobe mikononi mwa mtu ili kupelekwa kwenye gari la ambulance ndiyo iliyopelekea kufungiwa kwa huo uwanja.
Nilijiuliza HUYO JAMAA angejikwaa alaanguka SI INGEKUA hatari hapoNahisi ile ishu ya Kibwana Shomari kubebwa msobe msobe mikononi mwa mtu ili kupelekwa kwenye gari la ambulance ndiyo iliyopelekea kufungiwa kwa huo uwanja.