TEWUTA yasema TTCL pia iliporwa Chuo cha Posta na Simu

TEWUTA yasema TTCL pia iliporwa Chuo cha Posta na Simu

Kwa kutajwa, hakuna litakalosalia....
Ila kwa kuyafanyia kazi almost yote yatasalia juu ya mawe mengine.....
1. Mwenye nyumba sabini yupo wapi? Lakini alitajwa
2. Mwingine si tuliambiwa kuna mtu aliamua kufuta kesi ya kukutwa na "mavazi"...
3. Wale wa NSSF, walikula mishahara ya bure mwaka mzima.. lakini walitajwa
4. Kuna mmoja kule TANESCO Mtwara alitimuliwa "kwenyeTV", lakini yupo mpaka kesho anadunda na kazi
5. Makinikia tumeishia wapi?
6. Mishahara hewa imetupunguzia gharama za mishahara?
7. Vyeti feki vimepunguza gharama za mishahara?
8. Bombadia si bado inashikiliwa? Pamoja na kuambiwa ETI LISU NDO SABABU
9. etc etc
Kwa hiyo umeniandikia hizo hoja ili nizijibu mie ama .... maana sijaelewa ....
 
CCM na ufisadi na wizi wa mali za umma ni sawa na nzi na uchafu kwamba huwezi kuwatenganisha!
Ni eneo gani la umma lililoumizwa umkose mwanaccm?
Anza na ujenzi usiozingatia tija wa mabarabara yetu yaliyojengwa chini ya viwango, ubinaifishaji wa viwanda na makampuni ya umma, uuzaji wa nyumba za umma, mikataba mibovu ya maliasili zote, ujenzi wa shule na maabara na mengine mengi tu utawakuta wanaccm ndio aidha wauzaji na wanunuzi wakuu!
Japo upweza ulinishinda huenda na hili likawa liliishia palepale alipoliagiza kwani muendelezo wake hauyakuwepo!
Tukumbishane wahusika wakitangulizwa ile mahakama isiyo na kesi za kuendesha!
 
Kwa hiyo umeniandikia hizo hoja ili nizijibu mie ama .... maana sijaelewa ....
Kama una majibu we yaseme kwa faida ya mimi na msomaji kwa ujumla... KIKUBWA, NIA YANGU ILIKUWA KUKUONYESHA KUWA SISI NI WEPESI WA KUSIFIA MANENO BILA KUFIKIRI MATENDO YA MANENO YANAYOSEMWA
 
Kama una majibu we yaseme kwa faida ya mimi na msomaji kwa ujumla... KIKUBWA, NIA YANGU ILIKUWA KUKUONYESHA KUWA SISI NI WEPESI WA KUSIFIA MANENO BILA KUFIKIRI MATENDO YA MANENO YANAYOSEMWA
"Hakuna JIWE litakalosalia juu ya JIWE jingine ......" ... Kwa sentensi yangu hiyo NIMESIFIA wapi? ...... Mbona mwawa wepesi wa kufanya MAHITIMISHO pasi na KUTAFAKARI KWA KINA ni lipi hasa lilikuwa kusudio la mwandishi?
 
Hawa ni waongo, kwa nini siku zote hawakwenda mahakamani kama wanaushahidi? shame on them

Acha kuropoka, Mr Ndaro yupo sahihi kabisa na wafanyakazi ambao walijitokeza kusema ukweli walistaafishwa kwa manufaa ya umma(walivyodai) au kuhamishwa au kupungzwa madaraka kama njia ya kuwavunja moyo. Wenye shahada au Masters au PostGraduate kwenye fani za utaalamu walikuwa akiachishwa kazi kwa mfumo wa ‘redundant ‘ wakati wale wa darasa la saba na kidato cha nne walibakizwa!!!!nakumbaka Mhe Waziri Mbarawa alisema kampuni imebakiza semi skilled staff kazini!! Rais Magufuli yupo sahihi CetNet = CELTEL = Airtel ni mali ya TTCL.
 
Hiyo umetunga
 
Back
Top Bottom