Tetesi zilizovuma enzi hizo!

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,577
Ni tetesi au habari zipi unazokumbuka ambazo zilivuma sana enzi hizo lakini hazikutokea.
Mfano:
W
1.Mwisho wa dunia ni mwaka 2000
2.Hairuhiswi kwenda posta na kandambili, endelea na wewe hapo chini
3
4
5
6

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kulikua na mnyonya damu tishio anaitwa Msekwa, walikuwa wanasema eti anamiliki Peugot 504 nyekundu na haina mlio kabisa...basi tulikuwa hatutembei nje zaidi ya saa 12 jioni....
 
Back
Top Bottom