Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,707
Reaction score
59,228
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu Tanzania ni yetu sote.
Screenshot_20250719_135715_Instagram.jpg

Balozi Humphrey Herson Polepole
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Mbona Polepole kasema yuko pekee yake??

Au siku hizi umekuwa mganga wa kienyeji??
 
Back
Top Bottom