Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Habari nilizozipata ni kuwa baada ya hotuba ya Dr. Slaa aliyoitoa ya kujiondoa kwake CHADEMA pamoja na kueleza sababu mbalimbali zilizomfanya atoke, kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wameamua kujiondoa kwenye chama hicho.
Hiyo imetokea Mbeya wilayani Mbozi, taarifa zaidi zinasema wanachama zaidi ya 20 wamejivua uanachama wa CHADEMA na wameamua kujiunga na chama cha mapinduzi na watatambulishwa rasmi siku ya jumamosi, tarehe 5 kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za CCM wilayani hapo.
Tusubiri jumamosi kujua hali halisi ya mambo.