Tetesi: Wanachama zaidi wazidi kuihama CHADEMA

Tetesi: Wanachama zaidi wazidi kuihama CHADEMA

Bora kunywa lita 20 za maji safi zenye tone moja la kinyesi kuliko kunywa lita 20 za kinyesi zenye tone moja la maji safi
 
CCM na mchezo wa kuingiza na kutoa..!! Hamna kitu cha ku offer wananchi?
 
Ni haki yao kikatiba. Tunawatakia safari njema huko waendako wakamsalimiie na padri Dr. Slaaa
 
Wanachama 20???? Nilifikiri elfu 20. That is negligible
 
Yani siku hizi CCM hadi wanatia huruma... hahaha
 
Kila mwenye akili timamu lazima ahame chadema kwakuwa ni chama cha mafisadi.
 
Wanachama hao msikilize Masaburi hapa akiwahusisha CCM Kikwete na Kinana.
 
Bora nikae bila kuwa mwanachama wa chama chochote kuliko kwenda ccm yenye miaka 50 na ahadi zilezile
 
Mm si mwanachama wa chama chochote kile, lakini msimamo wangu uko palepale, ccm itaondoka tu mtake msitake. Wataongea sana tu, prof lishudu, dr na wengine wengi tu..., ccm must go..
 
kwanini watanzania mna akili za kushikiwa kiasi hiki mtu akihama ccm kwenda chadema mnasema ni haki yake lakini akihama chadema kwenda ccm mnasema msaliti mara maigizi, msiwe na mahaba ya kupitiliza hivo mtashindwa hata kulea hata watoto wenu.

CD kuna mabadiliko CCM kuna mfumo mbovu.
 
kwanini watanzania mna akili za kushikiwa kiasi hiki mtu akihama ccm kwenda chadema mnasema ni haki yake lakini akihama chadema kwenda ccm mnasema msaliti mara maigizi, msiwe na mahaba ya kupitiliza hivo mtashindwa hata kulea hata watoto wenu.
Punguza hasira basi,ili baada ya oct usije jinyonga kwa mihasira
 
Habari nilizozipata ni kuwa baada ya hotuba ya Dr. Slaa aliyoitoa ya kujiondoa kwake CHADEMA pamoja na kueleza sababu mbalimbali zilizomfanya atoke, kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wameamua kujiondoa kwenye chama hicho.

Hiyo imetokea Mbeya wilayani Mbozi, taarifa zaidi zinasema wanachama zaidi ya 20 wamejivua uanachama wa CHADEMA na wameamua kujiunga na chama cha mapinduzi na watatambulishwa rasmi siku ya jumamosi, tarehe 5 kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za CCM wilayani hapo.

Tusubiri jumamosi kujua hali halisi ya mambo.

Vipi mkuu umejaribu kidogo kusikiliza clip ya Ndugu na kiongozi wenu Didas Masaburi?
 
Habari nilizozipata ni kuwa baada ya hotuba ya Dr. Slaa aliyoitoa ya kujiondoa kwake CHADEMA pamoja na kueleza sababu mbalimbali zilizomfanya atoke, kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wameamua kujiondoa kwenye chama hicho.

Hiyo imetokea Mbeya wilayani Mbozi, taarifa zaidi zinasema wanachama zaidi ya 20 wamejivua uanachama wa CHADEMA na wameamua kujiunga na chama cha mapinduzi na watatambulishwa rasmi siku ya jumamosi, tarehe 5 kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za CCM wilayani hapo.

Tusubiri jumamosi kujua hali halisi ya mambo.

Wana Ccm wanajitekenya halafu wanacheka
 
kwanini watanzania mna akili za kushikiwa kiasi hiki mtu akihama ccm kwenda chadema mnasema ni haki yake lakini akihama chadema kwenda ccm mnasema msaliti mara maigizi, msiwe na mahaba ya kupitiliza hivo mtashindwa hata kulea hata watoto wenu.

Vipi comrade,umeisikiliza clip ya Mpiganaji wenu Didas Masaburi?
 
Wanachama wa chadema wakihama. Inageuzwa wanasema ni wana ccm. Ila wanaccm wakihama inaonekana ni kweli. Mbonaa hamtaki kukosolewa

Vipi swahiba umesikiliza kitu cha Masaburi akiwatia moyo vijana na kiwaeleza bila kufanya hivyo mtashindwa?
 
Yaani sijui wamefanywa nini hawa watu, au tu wanaamua kujitoa akili wenyewe. Watu timamu wamekaa wamemsikiliza

Dr. Slaa na wakaona chama kimeuzwa kwa wenye kuitaka ikulu kwa nguvu zote, ndio hivyo wakaamua bora hata wajitoe

kwenye hiki chama kinachofanyiwa maamuzi na Mbowe na mkwewe.

Wapo kazini hao wanajaribu kuzitendea haki posho zao ila kitu wasichokijua mpiga kura anajua pumba na mchele
 
Back
Top Bottom