Tetesi: UE kwa UDSM, 28/6/2011

Tetesi: UE kwa UDSM, 28/6/2011

Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!

mkuu ,,, kumbe umeleta mada hii ili ulumbane na watu....!

yanini malumbano.......?
 
sasa yeye anauliza kwani hayuko chuoni? kwa nini asiwaulize maclass mate wake hapo chuoni? huyo ni mpumbavu wa kutupwa
 
Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!
Poor Manager! Hiyo kampuni/organization yako itakufa soon
 
Hapa hamjaombwa kutoa ushauri! Nimewauliza kwamba, mwenye taharifa na averify. Kama huna taharifa, kaa kimya. As a manager, i have to consider any grapvine, bcoz it is agreed by managers that most of grapvines become true!
punguza jazba kijana, hii ndo JF.
 
sasa yeye anauliza kwani hayuko chuoni? kwa nini asiwaulize maclass mate wake hapo chuoni? huyo ni mpumbavu wa kutupwa
Tetesi: nasikia kipindi cha saa 3 leo hakipo.. Kwani hao maclass mate wake hawapo humu? siyo kila kitu unatakiwa uchangie, pumba tupu.
 
Hapa hamjaombwa kutoa ushauri! Nimewauliza kwamba, mwenye taharifa na averify. Kama huna taharifa, kaa kimya. As a manager, i have to consider any grapvine, bcoz it is agreed by managers that most of grapvines become true!
Umeambiwa na great thinkers kuwa "fuata almanac" need to say more?, kama kweli wewe ni dent basi utajua kuwa matukio ya chuo yako listed kwenye almanac, kuleta kwako tetesi ya UE hapa janvin kunatufanya tuwe na mashaka na uanafunzi wako.
 
Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!
ndo wehu huo kaa kimya wewe ucejua knachoendelea kwenye organisation yako. We waweza uliza humu ht wazazi wanaitwaje mana nahc ni mtoto kupitiliza.
 
Hapa hamjaombwa kutoa ushauri! Nimewauliza kwamba, mwenye taharifa na averify. Kama huna taharifa, kaa kimya. As a manager, i have to consider any grapvine, bcoz it is agreed by managers that most of grapvines become true!
we bado dent so kazi yako ni kusoma
 
Umeambiwa na great thinkers kuwa "fuata almanac" need to say more?, kama kweli wewe ni dent basi utajua kuwa matukio ya chuo yako listed kwenye almanac, kuleta kwako tetesi ya UE hapa janvin kunatufanya tuwe na mashaka na uanafunzi wako.
Kwani almanac haikuandaliwa na watu? Je watu hao hao hawawezi kuibadilisha? Nimeleta hyo tetesi yangu ili mwenye full information kuhusu mabadiliko yoyote na aliyeko UDSM peke yake ndo anijbu! Tatizo humu ni kwamba kuna watu wako nje ya UDSM ila wanajifanya kujibu! Acheni hizo, kama post haikuhusu ipotezee!
 
ndo wehu huo kaa kimya wewe ucejua knachoendelea kwenye organisation yako. We waweza uliza humu ht wazazi wanaitwaje mana nahc ni mtoto kupitiliza.
Tatizo hujui unalolionge! Je unajua maana ya grapvine kwenye organization yoyote na umuhm wake kwa managers? Kama hujui kaa kimya siyo lazima na ww uonekane umeandika kumbe huna unachokijua!
 
Kwani almanac haikuandaliwa na watu? Je watu hao hao hawawezi kuibadilisha? Nimeleta hyo tetesi yangu ili mwenye full information kuhusu mabadiliko yoyote na aliyeko UDSM peke yake ndo anijbu! Tatizo humu ni kwamba kuna watu wako nje ya UDSM ila wanajifanya kujibu! Acheni hizo, kama post haikuhusu ipotezee!
Haya kijana, acha jazba! Tayari tumeshajua unasoma UDSM
 
sasa yeye anauliza kwani hayuko chuoni? kwa nini asiwaulize maclass mate wake hapo chuoni? huyo ni mpumbavu wa kutupwa
Mpumbavu ni ww! Kwani nn maana ya social networks? Nilijua hata maclassmate wangu wengine wapo humu jf kwa hyo wanaweza kunijbu!
 
haaahaahaa... social network na ratiba ya mitihani chuo....
 
Tatizo hujui unalolionge! Je unajua maana ya grapvine kwenye organization yoyote na umuhm wake kwa managers? Kama hujui kaa kimya siyo lazima na ww uonekane umeandika kumbe huna unachokijua!
ukikua utaacha haya mwaanza hyo tarehe basi kaa kimya.
 
maswali mengine bana, sasa wewe ni mwanafunzi au? kama siyo haikuhusu, inayowahusu wanajua itakuwa lini
 
Back
Top Bottom