Tetesi udom watu wameanza kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi udom watu wameanza kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zubedayo_mchuzi, Nov 20, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  kuna tetesi nimezipata kuwa Udom baadhi ya post wameanza kazi,inasemekana huo mchezo umeshtkiwa Baada ya Mtoto Mwenye hotel 56 karibu na bunge aliemaliza St john,kuonekana anaenda kazin,
  Mwenye la zaidi atatujuza.
   
 2. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 655
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Kama anavyo vigezo vya kutosha ni sawa
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Alifanya interview? then sioni kosa hapo....sie tusie na godfather tukomae kivingine tu, ipo siku Mungu atatusaidia tu
   
 4. g

  goodlucksanga Senior Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ipo siku.... endelea kujifarijiiii tuuuu
   
 5. K

  Kandukamo Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lini wabongo tutaacha kulalama jamani?Siasa zimeathiri fikra zetu kwa kiwango kikubwa sana.
   
 6. t

  tul New Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hivi interview ilifanyika tarehe ngapi?
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hat st John kuna wa2 nadhani wameshaanza kupiga mzigo kichinichin Kama vp kila chuo madudu kama hayo yapo!! So uclaumu sana 2endelee kumuomba Mungu aliye hai ipo cku.
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  UDOM wameanza sehemu ya academic staff na kwa wale waliofanya application saint John jamaa wamechukua watu waliofanya vyema palepale..kwa hiyo ile ya kutangaza inaweza ikawa geresha na wao wameanza kazi kama wiki tatu zilizopita...
   
 9. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 599
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Udom watu wameanza hasa wa IT(Non-teaching/Technical staff) wameanza.sasa wewe uliomba nini?
   
Loading...