Tetesi: Simu za Sumsung hazipokei sms zote

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Imetokea zaidi ya mara moja kwenye groups za whatssup kuwa mtu alituma sms ila wakaipata watu wasiotumia simu aina ya Sumsung na wale wanaotumia simu aina ya Sumsung hawakuipata.

Waliokutana na hali kama hiyo tukutane hapa. Inaonekana hizi simu zinaruka baadhi ya jumbe pale unapokuta jumbe nyingi zinapotumwa kwa wakati mmoja.
 
Watumiaji wa samsung sasa mnaweza kuthibitisha hilo kwa sababu kuna rafiki yangu pia alikuwa analalamika
 
Meseji za jana zimenifikia leo Asubuhi.
na hii hali imekuwa kawaida kwangu, nikadhani ni mtandao.
 
Back
Top Bottom