Tetesi: Okwi kasaini Yanga??

Tetesi: Okwi kasaini Yanga??

Mikia kama huu uzi hawauoni vile. 😜
Mnahela ya kumlipa okwii 😂 😂 😂 😂...yaani mchezaji atoke simba aende timu ambayo inategemea harambee ndo ipate hela za kuwalipa mishahara wachezaji
 
Okwi arudi Simba ambako hawawezi kuishi bila yeye.
Yanga haina muda wa kubembeleza mchezaji
Nyie ndo hamna hadhi ya kumiliki mchezaji kama okwi....mchezaji gani anaejielewa ataenda timu ambalo ili liwalipe mishahara wachezaji wake ni mpaka liitishe harambee
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Okwi huyu ninaemjua na kumkubali hawezi kubali kuchezea Ndala yenye njaa kama hii
 
Back
Top Bottom